Mange anasemaje kwani!?Naona watu wanateuliwa kila kukicha...lakini hatuambiwi sababu au vigezo vya wao kuteuliwa. Hivi watz hatuna haki ya kujua? Why criteria za wakuu wa polisi zimewekwa wazi kwamba ni wale watakao dhibiti ujambazi...na hawa wengine ziwekwe wazi bhana..
Dunia nzima mkuu. Urafiki,undugu, ubwanyenye, uchama.U...,.. tu..... Afirika bana ukipata shavu hata wewe lazima uchomeke wote unaowajua au uliowahi kupiga nao mishe nao wafaidi keki
Ndo Ivo mkuu sisi tukomae tu ... Nimegundua uongozi kww nchi yetu lazima uwe inner circle Yani wanajuaana Sana toka kitambo ndo Mana hata mtu akipiga hela inakua ngumu kutumbuliwa Mana unakuta sijui Ni shemeji au mkwe au mpwa yani wanapeana tu vitengo na wanakutama daily kwenye Bata zao... Sie ambao hatuko nao hata uwe na vigezo hawakujui Wala nnDunia nzima mkuu. Urafiki,undugu, ubwanyenye, uchama.
Dunia imekaa kinafiki sana.
Huwa najiuliza inakuwaje mtu ka Shabani Robert hakuws na mamlaka makubwa hali alikuwa na maono ya mbali sawa na Nyerere au kumzidi kabisa.
Mfumo wa kuteua watu hasa kwa Afrika ni wa hovyo sana. Utakuta mtu alikuwa ana tomb%##dha kweli lakini anachaguliwa kuongoza watu mpaka wale walio okoka kikweli eti wa mtii mzinifu,mlevi mwizi nk.
Wachina nasikia kiongozi anaandaliwa kwa muda mrefu sana.