Hivi Watanzania mnaokimbiliaga South Afrika kuna kitu gani cha maana huko?

Duuh mkuu hauko serious aisee yaani hizo slums ndiyo umetolea kama mfano wa maisha ya wadizonga wote ama? Tembelea urban areas za miji mikubwa kama Johannesburg, Pretoria, Durban, Cape Town, East London na Bloemfontein nk halafu uje ufananishe na bongo yetu hii ndiyo utajua haujui!
 
Inawezekana asilimia kubwa ya Wabongo wanaokimbilia huko wanaishi kwenye hizo slums.
 
tunakimbilia kuuza madawa ya kulevya,wezi aka michomoko,wauza matunda,wezi wa magari na kutoboa ili tukirudi bongo tuje na simu mnunue
 
Inawezekana asilimia kubwa ya Wabongo wanaokimbilia huko wanaishi kwenye hizo slums.
Yeah ni kweli ila hata wabongo wanaoishi maisha mazuri pia wapo wengi, kule mbongo ukiwa na elimu kubwa au ukiwa muuza ngada mwenye connection yako unatoboa.

Hizo slums haziwezi kosekana kwenye nchi yoyote ile hata huko marekani zipo, na hata wazawa wenyewe wapo wengi tu wanaojichanganya kwenye hizo slums siyo foreigners tu.
 
Ok.Wewe una uzoefu na Bondeni??.
 
tunakimbilia kuuza madawa ya kulevya,wezi aka michomoko,wauza matunda,wezi wa magari na kutoboa ili tukirudi bongo tuje na simu mnunue
Umesahau pia wanarudi na cheni za silver
 
Fursa ni nyingi, vitu vingi ni affordable ikiwemo chakula, mavazi na makazi. Ukitaka makazi ya bajet yako hukosi na sometimes unapata mtaa mzuri kabisa. Vitu vingi si anasa kama Magari, electronics appliances, hata mtu wa maisha ya kawaida anaweza kuafford.

Shida ya ile nchi Crime rate iko juu sana, hivyo kuna mitaa si ya kuishi unless na wewe ni mkora.
 
Binti kiziwi connection tafadhali ili nitoboe maisha kama wewe [emoji85]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hio si nchi kabisa ya kukimbilia, Kama sio muuza ngada au jambazi ngumu mno kutoboa, Na kubwa zaidi usalama ni mdogo sana
 
Tatizo ya wabongo, ukishakula tu ukashiba tumbo ndiii, basi tayari usharidhika, mengine yote ni usumbufu...
 
Point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…