Hivi Watanzania mnaokimbiliaga South Afrika kuna kitu gani cha maana huko?

Ili Tanzania uendelee ilipaswa vijana wengi wapate exposure nje maana kwa akili za kulelewa na Chama no mwendo wa kusifia na kuridhika
 
Juzi nikiona clip Jamaa kakabwa Na watu kama wa5 hivi barabaran Tena mchana kwweupe Na watu wanatizama tu, walioomaliza kumchukulia vitu vyake wakamwachia alafu wanatembea tu as if hamna tukio lolote walilofanya yaan hawana waswas kabisa
 
Mambo hayo yalikuwa pale jangwani miaka ya 2000+.nilikuwa mdogo kidogo ila nilikuwa nakumbukumbu.niliona mtu anakabwa mchana kweupe kwenye zile ngazi ngazi chini kulikuwa na barabara ya waenda kwa miguu na watu kwenye magari Wana angalia.mimi nilipita tu sababu nilikuwa mdogo kiumri hawakudili na mimi
Juzi nikiona clip Jamaa kakabwa Na watu kama wa5 hivi barabaran Tena mchana kwweupe Na watu wanatizama tu, walioomaliza kumchukulia vitu vyake wakamwachia alafu wanatembea tu as if hamna tukio lolote walilofanya yaan hawana waswas kabisa
 
Juzi nikiona clip Jamaa kakabwa Na watu kama wa5 hivi barabaran Tena mchana kwweupe Na watu wanatizama tu, walioomaliza kumchukulia vitu vyake wakamwachia alafu wanatembea tu as if hamna tukio lolote walilofanya yaan hawana waswas kabisa
Mtu afanye hivyo huku umatumbini hamna color ataacha kuona
 
,
 
Attachments

  • Drake-Events-outdoor-decoration.jpg
    31.3 KB · Views: 8
Watz wengi wanateseka sana huko SA, wachache wana maisha mazuri tu. Kuna watu wamerudi mpaka unawaonea huruma hakuna walichopata zaidi ya kupiga picha kwenye malls kubwa na maeneo mengine ya mazuri.
 
Wabongo wengi hatujitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…