Tunataka siasa za kuongozwa na watu tunaowataka sisi wenyewe na kwa kuzingatia rule of law!Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote he mnataka siasa za aina gani?
Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu
Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki?
Hii inahusu zaidi chama kilichopo madarakani mnataka kiwe na siasa za namna gani mnazozipenda?
Tunataka siasa za kuongozwa na watu tunaowataka sisi wenyewe na kwa kuzingatia rule of law!
Huyo unaemtaka unataka awe na haiba gani ya uongozi?Tunataka siasa za kuongozwa na watu tunaowataka sisi wenyewe na kwa kuzingatia rule of law!
Mwafrika hanaga la maana alitakalo. Kiufupi hatueleweki nini hasa tunachotaka. Siasa za China zingetufaa sana.Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani?
Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu
Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki?
Hii inahusu zaidi chama kilichopo madarakani mnataka kiwe na siasa za namna gani mnazozipenda?
Raisi awe na haiba gani ya uongozi mtumbuaji mtumbuaji bila kufuata protocol au mstaarabu asie na ukali ukali na kupenda kusifiwaSiasa za uwajibikaji, za ushawishi, ambazo zinatambua mamlaka ya viongozi inatoka kwa watu na wajibu wa viongozi ni kutekeleza matakwa ya wananchi.
Raisi awe na haiba gani ya uongozi mtumbuaji mtumbuaji bila kufuata protocol au mstaarabu asie na ukali ukali na kupenda kusifiwa
Mwafrika hanaga la maana alitakalo. Kiufupi hatueleweki nini hasa tunachotaka. Siasa za China zingetufaa sana.
Raisi awe na haiba gani ya uongozi mtumbuaji mtumbuaji bila kufuata protocol au mstaarabu asie na ukali ukali na kupenda kusifiwa
Hapa sio kuwa atakuwa Mungu mtu mpenda kusujudiwa maana utumbuaji wakati mwingine haufuati utaratibu na itifaki je huoni atakuwa dictator?Bora awe mtuambuaji, mkali anayependa sifa. Lakini kwanza asiwe muuaji, mtekaji, mtesaji,mfiraji wa Watanganyika.
Awe mzalendo, asiwe fisadi na kujaza familia yake serikalini,asiwe mbaguzi na kuwatenganisha Watanzania kidini, kikabila, kikanda.
Rais anayeweza kusimamia huduma jamii kama maji, umeme kwa 27,000, kusimamia rasilimali zetu, sio kugawa hovyo rasimali za Taifa,mchapakazi, kupunguza rushwa na uonevu.
Muhimu asiwe na dharau, chuki kubwa kwa Watanganyika na kuhamisha kodi zao, rasimali zao kwenye familia yake akiwachukulia Watanganyika kama watumwa wake.
Hizo siasa za kistaarabu kutoka kwa hawa ccm?Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu
Hapa sio kuwa atakuwa Mungu mtu mpenda kusujudiwa maana utumbuaji wakati mwingine haufuati utaratibu na itifaki je huoni atakuwa dictator?
Swali lako lakijinga/kifala na haliwezi kujibiwa na waTanzania wote.Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani?
Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu
Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki?
Hii inahusu zaidi chama kilichopo madarakani mnataka kiwe na siasa za namna gani mnazozipenda?
Mkuu tuwaulize kwanza; Maana ya siasa ni nini? Kumbe kuna siasa ya ustaarabu na isiyo ya kistaarabu??Hizo siasa za kistaarabu kutoka kwa hawa ccm?
Maana nitauliza ni kipi kinafanya wasiwe wastaarabu?
Wananchi wanachotaka ni nchi kupata maendeleo umaskini kupungua
Huyo kiongozi mpole mstaarabu unampata wapi kwenye chama tawala?Haki juu ya nini?
Kiongozi wa chama tawala awe na aina gani ya uongozi au awe na haiba gani kama kiongozi mkuu wa nchi mpole mstaarabu au mkali na mtumbuaji?
Hadi Leo nakua na huu umri sijawahi kuona huo ustaarabu, sijui yeye kauona wapiSwali lako lakijinga/kifala na haliwezi kujibiwa na waTanzania wote.
Mpaka leo hujui maana ya siasa ni nini??!
Mkuu tuwaulize kwanza; Maana ya siasa ni nini? Kumbe kuna siasa ya ustaarabu na isiyo ya kistaarabu??
Kiongozi haitaji haiba mkuu anahitaji kufata katiba,sheria na kanuni za nchi.Haki juu ya nini?
Kiongozi wa chama tawala awe na aina gani ya uongozi au awe na haiba gani kama kiongozi mkuu wa nchi mpole mstaarabu au mkali na mtumbuaji?
Hawa ndo wanasemaga bahati mbayaHadi Leo nakua na huu umri sijawahi kuona huo ustaarabu, sijui yeye kauona wapi