Hivi watanzania mnawa-follow wasanii wa muziki na filamu ili iweje?

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Hii ndio nayosema kua tuna shida kubwa sana sana,,,ndio mana hata cartels wakitubagaza wanajua aah Hawa wanafatilia wasanii Instagram na TikTok wamelala hawa...

kuna manufaa yoyote unapata mtanzania haswa kijana kumfollow msanii wa muziki ? Yani Kuna pesa unawekewa kwenye akaunti yako ama ni vipi? Wanawasaidia nini Hawa wasanii zaidi ya kuwwatukana matusi makubwa na kejeli nyingi tu huko sababu ya vipesa wnaavyopewa ama kupata haswa kipindi hiki...

Unamfatilia msaanii ameamka, amepiga picha, anakula raha, Yuko bafuni, mtu anayemtombah, Yan unamfatilia halafu iweje? Yani unamfollow halafu then what ..unajua Kuna vitu tujitafakari kama taifa , it's nonsense kabisa.
 
Uteteseka sana hapa duniani na bado motoni utaenda kwa kuwachukia watu bila sababu. Tatizo lenu mnataka mabadiliko kwa kufanyiwa na watu wengine wakiwemo wasanii... hayo mambo unayotaka yafanyike fanya wewe badala ya kuwatupia lawama watanzania wenzako wanaojipatia riziki kupitia sanaa. Pumbavu sana wewe Keyboard warrior
 
Tulia dawa iingie kumamayo ..Kuna mtanzania anayejielewa ameomba ukombozi asaidiwe na wnamuziki mashoga na wavuta cocaine? Msanii anatakiwa kua kioo Cha jamii..reflection of the society at large,,Yani wafiche kusema ukweli sababu ya fucking petty cash wanazopewa ndio unaziita rizki? You got be fucking kidding me...
 
Nitumie namba yako PM nikutafute unitamkie hayo matusi uso kwa uso.
 
Narudia tulia dawa iingie bladfaken ..leta.hoja na si viroja vya matishio fala wewe. Kwaio unatakaje ...get thefuck out of my sight ....sio kila mtu humu ni chawa na ambaye anatishika ovyo...kutishia kwa zamani huko...Kaa in my ignored list huko uozee huko. I don't have time with this bullshit.
 
Njoo PM wewe Keyboard warrior
 
kwenye haya maisha kila mtu ana malengo yake anayemfolo msanii naye anayake anayapata sio lazima tulingane mitazamo na vipaumbele.....

cha msingi tulalamike tukiwa tunaendelea kujitafuta
 
Narudia tulia dawa iingie bladfaken ..leta.hoja na si viroja vya matishio fala wewe. Kwaio unatakaje ...get thefuck out of my sight ....sio kila mtu humu ni chawa na ambaye anatishika ovyo...kutishia kwa zamani huko...Kaa in my ignored list huko uozee huko. I don't have time with this bullshit.
ila matusi kwa kingereza yananoga asee kama hiyo bladifakeni nimeipenda🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unaweza mpandisha mtu sukari chap
 
We unatupangia chakufanya kwa mamlaka gani?
 
Hii ndio nayosema kua tuna shida kubwa sana sana,,,ndio mana hata cartels wakitubagaza wanajua aah Hawa wanafatilia wasanii Instagram na TikTok wamelala hawa...

kuna manufaa yoyote unapata mtanzania haswa kijana kumfollow msanii wa muziki ? Yani Kuna pesa unawekewa kwenye akaunti yako ama ni vipi? Wanawasaidia nini Hawa wasanii zaidi ya kuwwatukana matusi makubwa na kejeli nyingi tu huko sababu ya vipesa wnaavyopewa ama kupata haswa kipindi hiki...

Unamfatilia msaanii ameamka, amepiga picha, anakula raha, Yuko bafuni, mtu anayemtombah, Yan unamfatilia halafu iweje? Yani unamfollow halafu then what ..unajua Kuna vitu tujitafakari kama taifa , it's nonsense kabisa.
😂😂😂😂
😰😰😰😰
So sad.
 
Sehemu kubwa ya maisha ya binadamu wengi huamuliwa na ubongo wa kulia zaidi ambapo hutawaliwa zaidi na emotions kuliko logic na rational thought.
 
Nitumie namba yako PM nikutafute unitamkie hayo matusi uso kwa uso.
🤣🤣🤣😀 Wonderful
Mama Samia umeamua kuingia Front mwenyewe umteke wewe mwenyewe kwa mikono yako. 🤣🤣🤣
Aikoooooooo Kweli mama mtekaji.
 
Nataka tuonane ili atamke aliyoandika tukiwa tunatazamana usoni. Ni kwa nia njema
 
Back
Top Bottom