Hivi watanzania tunaweza kutengeneza mabasi kama jirani zetu wa Uganda? Kama tunaweza, tunasubiri nini?

Apejiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2017
Posts
283
Reaction score
244
Waafrika wenzetu tena jirani zetu wa Uganda wamezindua mabasi yanayotengenezwa nchini mwao tena na waganda wenyewe. Hivyo badala ya kutoka mabilioni ya pesa nje ya nchi kwa ajili ya kununulia mabasi pesa zote zinabaki ndani ya nchi, pamoja na kuongeza mapato ya fedha za kigeni pale nchi nyingine zinaponunua mabasi kutoka kwao. Kwa kufanya hivyo pamoja na miradi mingine, uchumi wa Uganda utakua kwa kasi zaidi.
Je, sisi tunashindwa nini kutengeneza mabasi, zana na mashine za kilimo, au kutengeneza magari kama wenzetu Kenya na Rwanda?
Maana uagizaji wa magari, zana za kilimo na mashine zingine unatupotezea pesa nyingi na kuathiri mzunguko wa pesa ndani ya nchi, kuchangia ukosefu wa ajira na kuathirika kwa kasi ya ukuaji wa uchumi.

Je sisi hatulioni hilo? Au hatuwezi? Au muda wetu wa kuamua bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wametengeneza mabasi yapi hayo. Kama majirani wanakiwanda cha baskeli nitajie Jina la baskeli zao kabla atujaanza kulaumiana kwenye utengenezaji wa zana za kilimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo mimi sijalaumu lakini nimeuliza kinachotukwamisha kufanya kama wenzetu ni nini? Kwa anayejua anasema ili tuone mahali pa kuanzia. Sio kuuliza swali juu ya swali kama tabia ya wabongo. Ukimuuliza unaitwa nani naye anakuuliza kwani wewe unaitwa nani? Kwa nini unauliza jina langu?[emoji16][emoji23][emoji23]

Ok, kumbe Waganda wanatengeneza na baiskeli basi wako mbali zaidi yetu kama ni hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika wenzetu tena jirani zetu wa Uganda wamezindua mabasi yanayotengenezwa nchini mwao tena na waganda wenyewe. Hivyo badala ya kutoka mabilioni ya pesa nje ya nchi kwa ajili ya kununulia mabasi pesa zote zinabaki ndani ya nchi, pamoja na kuongeza mapato ya fedha za kigeni pale nchi nyingine zinaponunua mabasi kutoka kwao. Kwa kufanya hivyo pamoja na miradi mingine, uchumi wa Uganda utakua kwa kasi zaidi.
Je, sisi tunashindwa nini kutengeneza mabasi, zana na mashine za kilimo, au kutengeneza magari kama wenzetu Kenya na Rwanda?
Maana uagizaji wa magari, zana za kilimo na mashine zingine unatupotezea pesa nyingi na kuathiri mzunguko wa pesa ndani ya nchi, kuchangia ukosefu wa ajira na kuathirika kwa kasi ya ukuaji wa uchumi.

Je sisi hatulioni hilo? Au hatuwezi? Au muda wetu wa kuamua bado?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika wenzetu tena jirani zetu wa Uganda wamezindua mabasi yanayotengenezwa nchini mwao tena na waganda wenyewe. Hivyo badala ya kutoka mabilioni ya pesa nje ya nchi kwa ajili ya kununulia mabasi pesa zote zinabaki ndani ya nchi, pamoja na kuongeza mapato ya fedha za kigeni pale nchi nyingine zinaponunua mabasi kutoka kwao. Kwa kufanya hivyo pamoja na miradi mingine, uchumi wa Uganda utakua kwa kasi zaidi.
Je, sisi tunashindwa nini kutengeneza mabasi, zana na mashine za kilimo, au kutengeneza magari kama wenzetu Kenya na Rwanda?
Maana uagizaji wa magari, zana za kilimo na mashine zingine unatupotezea pesa nyingi na kuathiri mzunguko wa pesa ndani ya nchi, kuchangia ukosefu wa ajira na kuathirika kwa kasi ya ukuaji wa uchumi.

Je sisi hatulioni hilo? Au hatuwezi? Au muda wetu wa kuamua bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar coach mbona wanatengeneza sana mabasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamejitahidi sana ila hakuna zhongtong singo zote terias

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi hapa mzee... Ni single
Kikosi cha New force za  kesho kwenda mikoani  Dar Tunduma Golden deer DMG 623 G.jpeg
Instagram media - BgkIXiDgabe.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye mitaji waheshimiwe,kama mtaji hakuna tutakuwa tunaongea tu.
 
Huku kwetu ukionyesha utundu wako COSTEC watakuzungusha weee wakati wagunduzi hata hela ya kutafutia vibali hawana.
 
Back
Top Bottom