Jamani nauliza swali hili kwa kuwa nimekuta kwenye daftari la mtoto wangu wa kiume ameandika ''I LOVE YOU ... (ametaja jina la msichana), hilo daftari analitumia kufanya kazi zake si la kukusanya kwa mwalimu na hand writing ni ya mwanangu. Mimi sijamuuliza alikuwa na maana gani kuandika vile maana ni mdogo sana yuko Std Two na ana miaka Sita na Nusu
Hivi watoto wadogo wanaanza lini kupendana?
Kwani wewe ulianza na miaka mingapi?
Hoo my daughter! Mbona mnakuwa wakali wajameni?
mbona umekasirika shost, au wako bado mdogo sana? kweli kuna wakati natamani kujua when I can talk to my kids about sex lakini sina nguvu hapoaisee, yaani huyu ni "baba:...yukhhh
jamani nauliza swali hili kwa kuwa nimekuta kwenye daftari la mtoto wangu wa kiume ameandika ''i love you ... (ametaja jina la msichana), hilo daftari analitumia kufanya kazi zake si la kukusanya kwa mwalimu na hand writing ni ya mwanangu. Mimi sijamuuliza alikuwa na maana gani kuandika vile maana ni mdogo sana yuko std two na ana miaka sita na nusu
hivi watoto wadogo wanaanza lini kupendana?
mbona umekasirika shost, au wako bado mdogo sana? kweli kuna wakati natamani kujua when I can talk to my kids about sex lakini sina nguvu hapo
kwani vp Nyamayao? ina maana sina mbegu?:angry:
lazima uelewe kuwa kuna vitu vingine mzazi ni ngumu kumuuliza mtoto ndio maana nimeanzia hapa. mbona umekuwa mkali sana kwangu leo kuna tatizo gani? vizuri ukanieleza kuliko kujibu namna hiyo hapa tunajadili tu na nina uhakika kuna wengine wana tatizo kama hilohapana dear, 6yrs, 4yrs....sasa akiwa 6 unashindwa kuongea/uliza ktu akifikia umri wenyewe ndio itakuwaje? na hili swali angemuuliza kwanza mtoto alimaanisha nini then ndio na sie tujue pa kuanzia, nimekosa cha kumsaidia kama mwenyewe hajisaidii.
Mimi nakumbuka nilikuwa nammega babysitter wangu na hii ilikuwa kabla sijaanza kindergarten....so you do the math....watoto bongo wanaanza chekechea wakiwa na umri gani. By darasa la kwanza tayari nilikuwa na kauzoefu.....