funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Jamani nauliza swali hili kwa kuwa nimekuta kwenye daftari la mtoto wangu wa kiume ameandika ''I LOVE YOU ... (ametaja jina la msichana), hilo daftari analitumia kufanya kazi zake si la kukusanya kwa mwalimu na hand writing ni ya mwanangu. Mimi sijamuuliza alikuwa na maana gani kuandika vile maana ni mdogo sana yuko Std Two na ana miaka Sita na Nusu
Hivi watoto wadogo wanaanza lini kupendana?
Hivi watoto wadogo wanaanza lini kupendana?