Hivi watu mna-handle vipi hii situation

Hivi watu mna-handle vipi hii situation

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu.

Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za Teamwork zinavyokuwaga.

Ukisema ujiweke bize na mmoja, mwingine kama ana nuna fulani hivi. Unaamua ku-balance, lakini wewe ndio unateseka kwa kushindwa kuwa huru. Na ukisema utembeze rungu comred kipepe kwa kila mtu, CV nayo inaaharibika 😂
 
Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu.

Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za Teamwork zinavyokuwaga.

Ukisema ujiweke bize na mmoja, mwingine kama ana nuna fulani hivi. Unaamua ku-balance, lakini wewe ndio unateseka kwa kushindwa kuwa huru. Na ukisema utembeze rungu comred kipepe kwa kila mtu, CV nayo inaaharibika [emoji23]
Ishi nao kama wafanyakazi wenzako kikawaida kabisa.
 
Back
Top Bottom