Kijana legelege anaona hiyo ni changamoto kwenye kazi. Je angekuwa na boss lady wake na ameolewa huyu si angejiua kwa matatizoHakuna tatizo hapo kama unaona tatizo acha tu hiyo kazi.
HahahaKijana legelege anaona hiyo ni changamoto kwenye kazi. Je angekuwa na boss lady wake na ameolewa huyu si angejiua kwa matatizo
Mwambie amwite Smart911 amfunze namna ya ku deal na vimwana wengi😂😂focus mkuuu focus
vinginevyo samwaleko
Tall, mwambie mleta uzi aache ujinga, awape awape tena hadi wagombane kama wanavyokugombania😆😆😆
Halafu hawana hela na hawajui kuwa hao anaowaona wadada sisi tunaona kausha damu.Vijan wa field mmeon mmfungue uzi[emoji55][emoji55]
Ishi nao kama wafanyakazi wenzako kikawaida kabisa.Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu.
Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za Teamwork zinavyokuwaga.
Ukisema ujiweke bize na mmoja, mwingine kama ana nuna fulani hivi. Unaamua ku-balance, lakini wewe ndio unateseka kwa kushindwa kuwa huru. Na ukisema utembeze rungu comred kipepe kwa kila mtu, CV nayo inaaharibika [emoji23]
mara chache sana kukuona una coment why broo au upo bize sana na maishaJob descriptions zako zinasemaje hapo?
Changamoto ndogo kama hiyo