figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Salaam,
Yaani watu Mikoani wanajua maisha ya Dar ni sawa na walikotoka.
Ndugu anakupigia simu Jumatano saa tano asubuhi. Anakuambia ukamuone kafikia Tegeta, hapo wewe unaishi Gongo la mboto na kazi unafanya Chanika.
Usipoenda utalaumiwa mwaka mzima.
Basi mumekutana, anaanza kukulazimisha umpeleke kwako. Sasa kama umenitafuta tumeonana, kwangu unaenda kufanya kufanya nini..
Nyumba za kupanga, leo nipo Mburahhati kesho nipo Bonyokwa.
Mwingine anaishi kigeto geto.. Sasa wewe Mama mtu mzima unataka kumtembea kijana kwake ili iweje? Mbaba mtu mzima unataka mtoto wa watu akupeke Getto.
Ni hamu ya kuniona tu au unataka kujua huku Dar naishije na uvunguni mwa kitanda kuna nini.
Sasa tukiamua kutokupokea simu mtaraumu? Umekosa sehemu ya kulala wageni sema utalipiwa Lodge ulale na chakula utakula.
Tunawapenda wageni lakini tuna maisha binafsi ambayo ni Private. Dar hatutembeleani ovyo ovyo.. Hata vikao vya msiba tunafanyia Bar. Dar kama Ulaya tu. Tunaishi kwa bajeti. Sio unavamia bila kualikwa. Mkome.
Mkija kutembea Dar, kaeni kwa pattern.. Subiri mtu ndo kukaribishe kwake sio umlazimishe kukupeleka kwake..