Acha pumba wewe wazungu unawajua mpaka uwasikie mlugaluga weweUganda ni nchi fulani ya ajabu ndiyo maana "Wazungu" wana mtindo wa kuitumia kama "laughing stock". Nimewahi kuwasikia zaidi ya mara moja wakiitaja "Uganda" wanapotaka kuelezea "nchi kituko"
Hahah kwa hiyo nimejisemea tu kuwa nimewasikia? Tunajuana?Acha pumba wewe wazungu unawajua mpaka uwasikie mlugaluga wewe
Tanzania ndio kituko wazungu wanshangaa kuwa miaka yote ina amani lakini nchi choka mbovu
Ondoa Tanzania hapo,Kenya at least wanabadilishana kwa haki,CCM hawana tofauti na anayofanya Museveni, na siku hizi wanateka na wanaua kuliko UgandaKwa jumla waganda wengi ni watu waungwana sana. Ila walipata kiongozi mroho wa madaraka akajimilikisha nchi yote yeye na familia yake tu. Iwapo utawala wa Godfrey Binaisa ungeendelea, leo hii tungekuwa na Uganda iliyo tofauti sana. Wangekuwa wanabadilisha viongozi kila baada ya miaka kumi kama ilivyo kwa Tanzania na Kenya.
Anzia kwenu hapo, lile shetani na CCM kwa wizi na mauaji ni worse kuliko MuseveniWaganda wanahitaji mkombozi kwa kweli. Huyu ni mkuu wa majeshi. Bado kuna Jenerali Ali. Ndio nchi ya Iddi Amini. Nyumbani kwa Konyi. Kabla ya hao alikuwa Kabaka Mutesa. Bila kumsahau Kibwetere. This is UGANDA!
Hata Tanzania inayobadilisha viongozi kila baada ya miaka kadhaa nayo ni kituko pia .Kwa jumla waganda wengi ni watu waungwana sana. Ila walipata kiongozi mroho wa madaraka akajimilikisha nchi yote yeye na familia yake tu. Iwapo utawala wa Godfrey Binaisa ungeendelea, leo hii tungekuwa na Uganda iliyo tofauti sana. Wangekuwa wanabadilisha viongozi kila baada ya miaka kumi kama ilivyo kwa Tanzania na Kenya.