kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Yaani ni aibu kubwa sana mtu mzima kunuka mdomo na ni kero pia, kwa wengineUsafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Wengine wanajua usafi vizuri tu ila wananuka midomo , unakuta mtu anasafisha kinywa mda huo huo anatema dawa na kusukutua na maji.Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Unataka kusema ni tatizo la kiafya? Jamani tusafishe vinywa vyetu kwa ufasaha, hasa kusugua Ulimi.Wengine wanajua usafi vizuri tu ila wananuka midomo , unakuta mtu anasafisha kinywa mda huo huo anatema dawa na kusukutua na maji.
Kwa kweli.Yaani ni aibu kubwa sana mtu mzima kunuka mdomo na ni kero pia, kwa wengine
Kuna watu huwa wanaswaki kama wanakimbizwaWengine wanajua usafi vizuri tu ila wananuka midomo , unakuta mtu anasafisha kinywa mda huo huo anatema dawa na kusukutua na maji.
Badala dawa iwe ,dawa ya meno na kinywa inakua dawa ya mswaki .Unataka kusema ni tatizo la kiafya? Jamani tusafishe vinywa vyetu kwa ufasaha, hasa kusugua Ulimi.
Inaweza ikawa tatizo la kiafya pia maana kuna wengine unakuta anazingatia usafi lakini bado kinywa kina harufuUnataka kusema ni tatizo la kiafya? Jamani tusafishe vinywa vyetu kwa ufasaha, hasa kukusugua ulimi
Pia zipo kampuni nyingi za kimagumashi za dawa za kinywa hazikidhi viwango vya kimataifa .Kuna watu huwa wanaswaki kama wanakimbizwa
Huyo ni shabiki wa Utopolo au😁😁😁
Kunuka mdomo Kuna sababu nyingi ikiwemo:Wengine wanajua usafi vizuri tu ila wananuka midomo , unakuta mtu anasafisha kinywa mda huo huo anatema dawa na kusukutua na maji.
Mimi naona Colgate ndiyo ina dawa nzuri zaidi za dawa za menoPia zipo kampuni nyingi za kimagumashi za dawa za kinywa hazikidhi viwango vya kimataifa .
Mmmh tusubiri wataalamu waje kufafanua hili.Inaweza ikawa tatizo la kiafya pia maana kuna wengine unakuta anazingatia usafi lakini bado kinywa kina harufu
Lakini kumwambia mtu ambaye anaweza akawa hajui kama ana hilo tatizo ni kipengeleKunuka mdomo Kuna sababu nyingi ikiwemo:
1. Akiwa na jino lililotoboka
2. Wagonjwa wa kisukari wana hiyo shida hasa kama hajaanza kutumia dawa au hatumii kwa usahihi.
3. Mlevi wa pombe
Tanbihi: Anayenuka mdomo hajielewi kama unapenda kumsaidia. Mshauri baada ya kunywa chai asukutue mdomo kwa hydrogen peroxide mouth wash mara kwa mara
na anaeongea hadi mate yanaruka...... Nipo na jamaa hapa naongeanae,nayaoga mate balaa,aisee!Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Hakika mkuuMmmh tusubiri wataalamu waje kufafanua hili.
Abee mkuuBinti sayuni