Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Sio wotee, Sio kivilee.
😂😂😂😂
Tunaona mnasutana mitandaoni!Kwangu mimi hapana kwakweli
Ooh ananuka mdomo, nilikuwa nae kimaslahi tuu. Wakati kuna mwenzake anatamba nae.
Sio wotee, Sio kivilee.
😂😂😂😂
Tunaona mnasutana mitandaoni!Kwangu mimi hapana kwakweli
Nimemdhalilisha vipi je nimetaja jina lake?Je kudhalilisha watu mtandaoni unahisi ni sahihi?
Sahihi. Au ukasogelea ukuta, ubao, kioo ukipumua hewa inayorudi itakupa majibuHii ni kwel ila unaweza puliza hewa yako ya kinywa tu kwa kuziba na mkono ukajua.
Mimi siwezi kumvumilia mtu wa hivyo aiseeWanawake ni watu wenye roho ngumu sana na katili. Mimi mwenyewe huwa najiuliza unawezaje kuvumilia harufu ya pombe+sigara?
Mimi nikilala tu na mtu wa aina hiyo chumbani sipati usingizi kabisa. Sasa wanawake mnapumuliwa na denda mnakula kabisa
Umsaidie kwani ulishawahi kumwambia kuwa ana hilo tatizo and now you're looking for the problem's solution.?Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Acha tuu, sijui wakoje hawa watu.Wanawake ni watu wenye roho ngumu sana na katili. Mimi mwenyewe huwa najiuliza unawezaje kuvumilia harufu ya pombe+sigara?
Mimi nikilala tu na mtu wa aina hiyo chumbani sipati usingizi kabisa. Sasa wanawake mnapumuliwa na denda mnakula kabisa
Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Hata wewe unaweza ukawa unanuka mdomo bila kujijua na watu wanakuvumilia tu ili usijisikie vibaya. Si unajua nyani huwa haoni uwekundu wa mikundu wake ila huwa anacheka nyani wenzake kisa kuwa na mikundu yenye rangi nyekundu.Yaani ni aibu kubwa sana mtu mzima kunuka mdomo na ni kero pia, kwa wengine
InafikirishaNimemdhalilisha vipi je nimetaja jina lake?
Au nimekosea mkuu!?Huu ni ukatili wa kijinsia🤣
Tatizo ni serikali pumbavu ya sisiemu imeshindwa kusimamia mashule yetu hayo mambo yanatakiwa kujengwa toka utotoni mashuleni ...leo hii unakuta mama ntilie anauza chakula kwenye mazingira machafu na watu wazima na watoto wa shule wanakula ...kama hao watoto wangekinaishwa na uchafu kwa mafunzo toka mashuleni wasinge tamani kula chakula kwenye mazingira machafu.Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Mimi sinuki mdomo ndugu yangu, ningekuwa na hiyo shida mtu wangu angeshaniambia maana ingekuwa kero kwake piaHawajijui, hata wewe unaweza kuwa ubanuka mdomo ila ni ngumu watu kukwambia.
Wakina nani hao unawaongelea?sisi hatujui, tuwaulize nyie mnaopigwa denda baada ya kula vya watu!!.
Wafundisheni watu wenu namna bora ya kuswaki.Mimi siwezi kumvumilia mtu wa hivyo aisee
Haya ndo mambo unaweza kuamka na kuandika ujinga .Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Na kama ni mtu wa kuzingatia usafi wa kinywa , ukijisahau kidogo tu unaona kinywa ni kizito, hata kudhubutu kumsemesha mtu inakua ngumu hata kama hautoi harufu.Sahihi. Au ukasogelea ukuta, ubao, kioo ukipumua hewa inayorudi itakupa majibu
Hatari sana hii mkuuTatizo ni serikali pumbavu ya sisiemu imeshindwa kusimamia mashule yetu hayo mambo yanatakiwa kujengwa toka utotoni mashuleni ...leo hii unakuta mama ntilie anauza chakula kwrnye mazingira machafu na watu wazima na wayoto wa shule wanakula ...kama hao watoto wangekinaishwa na uchafu kwa mafunzo wasinge tamani kula chakula kwenye mazingira machafu.
Acha makasiriko Kanywe chaiHaya ndo mambo unaweza kuamka na kuandika ujinga .
Chukua kidole uchomeke katika Kumma yako halafu unuse usikie harufu yake
Tuwasaidie mkuuMambo Yao waachie wenyewe