kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #61
Asante mkuu nipe habariNimetamani niongee tu na wewe baaasi.
Asante mkuu nipe habariNimetamani niongee tu na wewe baaasi.
Duuuuh!!!
Hakika mkuuNa kama ni mtu wa kuzingatia usafi wa kinywa , ukijisahau kidogo tu unaona kinywa ni kizito, hata kudhubutu kumsemesha mtu inakua ngumu hata kama hautoi harufu.
Anakuvumilia tu ili usijisikie vibaya.Mimi sinuki mdomo ndugu yangu, ningekuwa na hiyo shida mtu wangu angeshaniambia maana ingekuwa kero kwake pia
Muwe mnasafisha vinywa vizuri mkuu, msikere wengineMtusamehe sana, hata sisi huwa hatujui kama vuinywa vinatoa harufu kali. Japo ni hizi pombe kali na kuna wakati tunajisahau hatusafishi vinywa vizuri.
Umekunywa chai?Anakuvumilia tu ili msiachane, ndo maana ukimwongelesha kwankaribu anakuja Sura kama gamba la limao kisa harufu.
Hatari sana unafikiria uanze vipi kumwambiaNa Wengine Sasa ni Viongozi😅😅
Mouth wash huwa inasaidia kwa muda mfupi... Suluhisho ni kusafisha kinywa na ulimi mara kwa mara, mpaka kinywa kinazoea kuwa kisafi na mara kwa mara, ukisafisha kinywa ujianglie kwenye kioo kuhakikisha ulimi umesafika hasa, na hakuna gando gando lolote zito kwenye ulimi... Hii kitendo kinachukua muda sio kuweka maji na kupitisha mswaki mara moja umeweka dawa, unafikiri umemaliza .. Pitia hatua zote mpaka uhakikishe kinywa kiko kisafi... Ukidumu na tabia kinywa kitakuwa safi na utaepuka kunuka kinywa kunakozidi... Kwa namna moja au nyingine baada ya kula vyakula mbalimbali yataanza kubaki mabaki ya vyakula, hayo ndio huleta harufu ya kinywa , usilale bila kusafisha kinywa.. Nadhani hii itasaidia wengi.Kunuka mdomo Kuna sababu nyingi ikiwemo:
1. Akiwa na jino lililotoboka
2. Wagonjwa wa kisukari wana hiyo shida hasa kama hajaanza kutumia dawa au hatumii kwa usahihi.
3. Mlevi wa pombe
Tanbihi: Anayenuka mdomo hajielewi kama unapenda kumsaidia. Mshauri baada ya kunywa chai asukutue mdomo kwa hydrogen peroxide mouth wash mara kwa mara
Mtu wangu wa karibu akiwa na hilo tatizo nitamwambia na kumsaidia piaWafundisheni watu wenu namna bora ya kuswaki.
Asante mkuu umeiweka vyemaMouth wash huwa inasaidia kwa muda mfupi... Suluhisho ni kusafisha kinywa na ulimi mara kwa mara, mpaka kinywa kinazoea kuwa kisafi na mara kwa mara, ukisafisha kinywa ujianglie kwenye kioo kuhakikisha ulimi umesafika hasa, na hakuna gando gando lolote zito kwenye ulimi... Hii kitendo kinachukua muda sio kuweka maji na kupitisha mswaki mara moja umeweka dawa, unafikiri umemaliza .. Pitia hatua zote mpaka uhakikishe kinywa kiko kisafi... Ukidumu na tabia kinywa kitakuwa safi na utaepuka kunuka kinywa kunakozidi... Kwa namna moja au nyingine baada ya kula vyakula mbalimbali yataanza kubaki mabaki ya vyakula, hayo ndio huleta harufu ya kinywa , usilale bila kusafisha kinywa.. Nadhani hii itasaidia wengi.
Wanajielewa wanokumbana na hiz dhahamaWakina nani hao unawaongelea?
Hilo tatizo la kiafya waende hospitaliWengine wanaongoza kutoa hewa nzito ni wale wasiokunywa maji kwa kiwango kinachofaa na wasiopata choo kwa ukawaida.
Nisamehe ni matani tu!Umekunywa chai?
Oooh! Sawa watakuja waone wanaohusikaWanajielewa wanokumbana na hiz dhahama
Kwan wewe ulijuaje??Oooh! Sawa watakuja waone wanaohusika
SawaNisamehe ni matani tu!
Sio wotee, sio kivilee.Wanawake ni watu wenye roho ngumu sana na katili. Mimi mwenyewe huwa najiuliza unawezaje kuvumilia harufu ya pombe+sigara?
Mimi nikilala tu na mtu wa aina hiyo chumbani sipati usingizi kabisa. Sasa wanawake mnapumuliwa na denda mnakula kabisa
Sikujua that's why nikaulizaKwan wewe ulijuaje??