The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Ukiwa na pesa automatic unakuwa msafiMwanaume hata kama haogi na kuswaki kikubwa pesa na good life.
Ukiwa na pesa automatic unakuwa msafiMwanaume hata kama haogi na kuswaki kikubwa pesa na good life.
Safi sanaHili tatizo la harufu mbaya ya mdomo (halitosis) ni jambo linalowakumba watu wengi bila wao kujua. Mara nyingi husababishwa na:
✅ Usafi duni wa kinywa – Kutopiga mswaki vizuri au kutosafisha ulimi.
✅ Magonjwa ya fizi – Maambukizi kwenye fizi yanaweza kusababisha harufu mbaya.
✅ Kunywa maji kidogo – Mdomo mkavu unachangia harufu kwa sababu mate husaidia kusafisha bakteria.
✅ Chakula na vinywaji – Vyakula kama vitunguu, kitunguu saumu, au kahawa vinaweza kuacha harufu mbaya mdomoni.
✅ Tumbo na afya ya ndani – Maambukizi ya tumbo au asidi ya tumbo (acid reflux) yanaweza kusababisha harufu mbaya.
✅ Matumizi ya sigara na pombe – Hivi vinaweza kusababisha mdomo kuwa mkavu na kutoa harufu kali.
Dawa ya Harufu Mbaya ya Mdomo
✔ Piga mswaki angalau mara mbili kwa siku, usisahau ulimi.
✔ Tumia floss (nyuzi za meno) kusafisha mabaki ya chakula.
✔ Kunywa maji mengi kila siku.
✔ Tafuna chewing gum isiyo na sukari ili kuchochea uzalishaji wa mate.
✔ Tumia mouthwash yenye antiseptic kuua bakteria.
✔ Tafuna mbegu za iliki (cardamom) au mdalasini baada ya kula.
✔ Punguza vyakula vyenye harufu kali kama vitunguu na kitunguu saumu.
✔ Tembelea daktari wa meno angalau mara mbili kwa mwaka.
Kwa huyu mbaba, labda watu wa karibu wanamwogopa kumwambia moja kwa moja. Lakini kama kuna mtu anamjali, ni vyema kumweleza kwa njia ya heshima ili apate suluhisho.
Wewe umeshawahi kukumbana na mtu mwenye harufu mbaya ya mdomo? Ulifanya nini? 😅
Mimi mtu mchafu hapanaMwanaume hata kama haogi na kuswaki kikubwa pesa na good life.
Poa kabisa,nilikuwa natamani niongee nawe hata kidogo kwa simuAsante mkuu nipe habari
Siku wanataka kisichokuwepo😀Hahaha 😂, wanawake huwa haeleweki mkuu.
Hata kama huogi, hupigi mswaki?Ukiwa na pesa automatic unakuwa msafi
Sina simuPoa kabisa,nilikuwa natamani niongee nawe hata kidogo kwa simu
Harufu mbaya ya kinywa huwa inakera sana mkuuHii kitu hatari sana asubuhi ukipata bahati mbaya ukakaa siti moja na mtu wa hivyo awe hajaweka chochote tumboni utatamani muwahi eneo la kuchimba dawa ukiwa na matumaini uenda atanunua chochote ili ale ili harufu yake isitoke tena
Usipo yatunza utaoa yote😂,Wengine watang'oa magego ili kuepusha kunuka mdomo mkuu.
Haya basi bahati mbaya.Ila ni kwa wema tu,pengine ungenisaidia jambo.Usiniwazie kwa mabaya nina heshima kwa watu wote.Sina simu
KaribuHaya basi bahati mbaya.Ila ni kwa wema tu,pengine ungenisaidia jambo.Usiniwazie lwa mabaya nina heshima kwa watu wote.
Asante kwa kujali
Hahaha 😂Usipo yatunza utaoa yote😂,
Opener ipo mezani unafungua soda na meno unaweza sababisha fracture ambayo ni makazi wa wadudu
Hili linahitaji tume maana sio swala dogoMtazungumzia Sana habari ya kunuka midomo lakini kamwe msipuuzie kunuka kwa uke.
Msipuuzie kabisa kabisa.
Sasa bora nyinyi. Wanaume mwanamke akiwa mchafu kila kitu kinavurugika. Tunanusa kama mbuzi hata bila nyinyi kujua wakati fulani. Kamdomo kakiwa kananuka stimu zinakata kabisa.Mimi mtu mchafu hapana
Anzisha uzi😁😁Mtazungumzia Sana habari ya kunuka midomo lakini kamwe msipuuzie kunuka kwa uke.
Msipuuzie kabisa kabisa.
Kama white dent ni sawa na sabuni za magadi tu kiubora, sijui wanatuchukuliaje Wa-tz?Pia zipo kampuni nyingi za kimagumashi za dawa za kinywa hazikidhi viwango vya kimataifa .
Aaaah aise what's the heck men 🫰🤣🤣🤣🤣
Lakini bado mnaipigaSasa bora nyinyi. Wanaume mwanamke akiwa mchafu kila kitu kinavurugika. Tunanusa kama mbuzi hata bila nyinyi kujua wakati fulani. Kamdomo kakiwa kananuka stimu zinakata kabisa.
Kuliko nitumie whitedent bora nitumie majivu au mkaa.Kama white dent ni sawa na sabuni za magadi tu kiubora, sijui wanatuchukuliaje Wa-tz?
Sugueni ndimi zenu na fizi zenu inavyopasa mbali na meno pekee.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.