Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Kwa kweli ni changamoto kuna jamaa mmoja rafiki yangu na tunaelewana sana ni mtu nadhifu kweli kweli ila sasa akianza kuongea duh ni tafrani yaani mdomo wake unatoa harufuu kweli kweli tangu nimfahamu, mie kama rafiki yake nimejaribu mara kwa mara kumpa hata zile pipi zinazotoa harufu nzuri mara nyingine anakataa anasema hapendi sana vitu vya sukari. Binafsi nimeshindwa kumweleza kuhusu hilo tatizo lake japo najiuliza kila mara ina maana mkewe hasikii hiyo harufu. Basi nakosa jibu nanyamaza japo najiona rafiki mnafki kwa kushindwa kumweleza. Kwa kifupi nadhani hata wao HAWAFAHAMU.
 
Ni ngumu sana kumweleza mtu tatizo kama hilo mkuu, hivyo usijilaimu.
 
Dawa ya mswaki pia ina changia
Unatumia dawa ya mswaki aina ipi?

1742978288219.jpeg
 
Wewe kila kero Yako, mara umezalishwa na mwanamme wa miaka 45, yaan unaandika andika tu kama Malaya hivi. Hivi hunaga kazi ya kufanya? Yaan kama mwehu vileee na unajiona unaandika vitu vyaa maana kumbe ovyoo tu.. we unadhani umekamilika kila kitu?

Na unadhani yeye anapenda hio Hali?
Kwa hiyo ulitaka akae kimya asiongee shida yake au?
Basi wewe ni malaika sasa.

Kuna watu anaweza asiswaki hata siku mbili na asinuke mdomo lakin Kuna wengne hata aswaki mara kumika siku bado mdomo utanuka tu, hivi hiki kitu nacho hujawahi kujiuliza?
 
Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.

Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
We mngoni kwa kupenda kwichikwichi upo vizuri sana!

Hongera kwa kuwawakulisha wanawake wa kingoni kwa vitendo!

#KARIBU NYUMBANI #MSAMALA-SONGEA#GOBA DSM#
 
Kwa kweli ni changamoto kuna jamaa mmoja rafiki yangu na tunaelewana sana ni mtu nadhifu kweli kweli ila sasa akianza kuongea duh ni tafrani yaani mdomo wake unatoa harufuu kweli kweli tangu nimfahamu, mie kama rafiki yake nimejaribu mara kwa mara kumpa hata zile pipi zinazotoa harufu nzuri mara nyingine anakataa anasema hapendi sana vitu vya sukari. Binafsi nimeshindwa kumweleza kuhusu hilo tatizo lake japo najiuliza kila mara ina maana mkewe hasikii hiyo harufu. Basi nakosa jibu nanyamaza japo najiona rafiki mnafki kwa kushindwa kumweleza
Hata mimi naona wewe si rafiki mzuri. Unapaswa kumuambia. Ni bora apate aibu kwako kuliko kwenye umati?

Nenda mwambie "juzi nilienda kupata elimu ya kusafisha kinywa kwa madetinst nikagundua nilikuwa sikitendei haki kinywa changu. Unajua kuna namna ya kusugua kinywa kiwe salama hatufuatilii. " Akiuliza njia gani anza darasa la kumfundisha namna ya kusugua kinywa chake.
 
Back
Top Bottom