Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.

Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.

Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Nadhani hawajijui kuna mwanasheria mmoja jamaa yangu ananuka sana mdomo sema sijui naanzaje kumwambia
 
Nipite kimya? Basi ungejiandikia mwenyewe inbox kwako.
Yaan unavoonekana wewe kama sio mshirikana bas itakua unamilikia magenge ya kiharifu!! Maana post zako zote hazina adabu kbsaa. Afu unaona kaa sifa wapuuzi wenzio wakiwa wanakujaza huo ujinga ujinga wako.
Sasa kama post zangu hazina adabu unazifatilia za nini, acha kiherehere mtoto wa kiume
 
Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.

Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.

Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Kuna watu wananuka mdomo kwa sababu ya Kisukari.

Wengine wamefunga mfungo wa Ramadhani tu.
 
Back
Top Bottom