Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.

Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.

Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
utakuta binti mrembo akianza kukutajia namba za simu ile harufu tu unafuta namba
 
Ila kwa upande wangu, kunuka mdomo, na sehemu za siri, hapana siwezi kuvumilia. Lol
Hayo machafu chafu, yapo katika makundi mawili: kuna kundi la wachafu kuoga, hili ndiyo linabeba wengi na kuna kundi la maradhi kwa wachache.

Hata mimi siuwezi 'ubeberu' kufanya na mtu huku nimezielekeza pua zangu juu ama nimeziziba kwa kiganja cha mkono!

Maana raha ni kumkumbatia binadamu mzima mzima kwa mikono miwili.
 
Hayo machafu chafu, yapo katika makundi mawili: kuna kundi la wachafu kuoga, hili ndiyo linabeba wengi na kuna kundi la maradhi kwa wachache.

Hata mimi siuwezi 'ubeberu' kufanya na mtu huku nimezielekeza pua zangu juu ama nimeziziba kwa kiganja cha mkono!

Maana raha ni kumkumbatia binadamu kwa mikono miwili.
Nasemaje, una hoja, usikilizwe.
 
Hayo machafu chafu, yapo katika makundi mawili: kuna kundi la wachafu kuoga, hili ndiyo linabeba wengi na kuna kundi la maradhi kwa wachache.

Hata mimi siuwezi 'ubeberu' kufanya na mtu huku nimezielekeza pua zangu juu ama nimeziziba kwa kiganja cha mkono!

Maana raha ni kumkumbatia binadamu kwa mikono miwili.
Sema mtu mchafu anakata stimu kabisa
 
Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.

Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.

Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Maji ya bomba hasa mji wa Shinyanga ni chanzo kikubwa cha maambukizi mdomoni na wengi kunuka midomo
Maji hayo ya kutoka victoria yanachanganywa na maji ya bwawa la ning'hwa ambalo ni chafu sana na halitunzwi.
Kwa watu wa Shinyanga ni kunuka mdomo kwa kupokezana tu
 
Unataka kusema ni tatizo la kiafya? Jamani tusafishe vinywa vyetu kwa ufasaha, hasa kusugua Ulimi.
Sio suala la ulimi ni ugonjwa wa shambulio la bacteria na fungus.

Matumizi ya dawa nyingi za meno siku hizi yanachangia kwa kuwa dawa hazina viwango na sidhani kama kuna mtu anajali kuhusu hili
 
Back
Top Bottom