Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Makolokolo kungwi huyo tena usikute ni Swahiba wake na Kalpana kindakindaki....😊

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 pumbavuuuuu
Umeona uongee kwa sauti ndogo ili nisisikie...mimi tena niliopoona tuuu comment yako nikajua umenimiss lazima unitaje kisa tuu umeona utopolo...
 
Unataka kusema ni tatizo la kiafya? Jamani tusafishe vinywa vyetu kwa ufasaha, hasa kusugua Ulimi.
Mostly ni tatizo la kiafya,
Ukimpeleka kwa dentist utakuta kuna meno 2 au 1 liko na tooth decay ndo linatema

Kiasi kwamba akiziba tu ndo kupona kws hilo tatizo.

Otherwise hata Aoshe na Sabuni ya dettol harufu haiwezi kuisha.
 
Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.

Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Wengine ni maradhi/miili yao hata wapige mswaki kama wanasugua choo harufu bado itakuwepo.
 
Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.

Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.

Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Mimi Niko tofauti na watu wengi nikisikia mtu ananuka mdomo ama jasho baya Huwa namwambia. Sasa Kuna wanaonikubali kwamba umenyooka na Kuna wanaochukia lkn sijali maana nafanya hivyo kwa lengo la kumsaidia mhusika na sio kumtweza. Kumwambia mtu ananuka mdomo live kunahitaji ujasili
 
Kabisa mkuu maana lazima tu muhusika atajisikia vibaya
 
Back
Top Bottom