Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,195
- 691
Chuma, chuma hiyoo!Inawezekana naye ananuka kwa vile ugonjwa mnao wote wawili hamuwezi kujua.
Chuma, chuma hiyoo!Inawezekana naye ananuka kwa vile ugonjwa mnao wote wawili hamuwezi kujua.
Ko huwa hampumuliani? Au mnakua hampumui? 😂😂😂😂Ahahaha kuna ulazima wa kupumuliana et..?
😂😂😂😂😂😂 Kweli kuwa uyaone aiseee
Ahahahah skumbuki aiseee...Ko huwa hampumuliani? Au mnakua hampumui? 😂😂😂😂
Kwani hata msipo angaliana ndo harufu haimfiki? WoiiiihAhahahah skumbuki aiseee...
Mishangazi kwanza ujue sijui mkae vipi mpaka mpate mda wa kuangaliana 😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂 Mi ntakuja kupiga mtu sasa an anapumuaje kiasi ambacho hadi nisikie harufu jamniKwani hata msipo angaliana ndo harufu haimfiki? Woiiiih
😂😂😂😂😂
Acha fix, mishangazi ya uswazi inanuka sio mdomo, hata kiharage kinatema, Lol😂😂😂😂😂 Mi ntakuja kupiga mtu sasa an anapumuaje kiasi ambacho hadi nisikie harufu jamni
Nop sio wote bana...Acha fix, mishangazi ya uswazi inanuka sio mdomo, hata kiharage kinatema, Lol
😂😂😂😂
Kwendraa huko, hakuna lolote, hakna Dorry wala Derry.Nop sio wote bana...
Wewe ujamuona dorry yaani ni very smart alafu aiseee kama hajazaa hv an siongei sana ila ile ni 👌👌...
Hao unaosemea wewe hawakai huku kwetu majimatitu mybe chax huko 😂😂😂😂
Ahahahah alafu hyo jpili nikija nakuchukua kabisa uje mitaa yetuKwendraa huko, hakuna lolote, hakna Dorry wala Derry.
😂😂😂😂
Wee huogopii? 😂😂😂😂Ahahahah alafu hyo jpili nikija nakuchukua kabisa uje mitaa yetu
Niogope wewe hapo au niogope nini..?Wee huogopii? 😂😂😂😂
Wee ndo maana unaachwa stand, unakurupuka mno.Niogope wewe hapo au niogope nini..?
Au na wewe wa mjini ahahaha
Bichwa yu wapi jamni
Noo sija muona bhana 😂😂😂😂Wee ndo maana unaachwa stand, unakurupuka mno.
Afu amerudi mchumba ako, kwan hujamuona? 😂😂😂😂
Si kasema alikua maternity leave, vipi baba kachanga hujui hilo? LolNoo sija muona bhana 😂😂😂😂
Kesho nikitoka k,koo nakuja mojakwa zote
😂😂😂😂😂 Au kala ban ya mwaka...Si kasema alikua maternity leave, vipi baba kachanga hujui hilo? Lol
😂😂😂😂
Wee huogopiii?
Kwani hamuishi Pa1? Baba kachanga una visa weyee, Lol.😂😂😂😂😂 Au kala ban ya mwaka...
Ngoja nijipange nikamuone kichanga
😂😂😂😂😂 Coca nipo mabibo hapaKwani hamuishi Pa1? Baba kachanga una visa weyee, Lol.
Sahivi uko wapii?😂😂😂😂😂 Coca nipo mabibo hapa
Huo ni ugonjwa kama wale wanaonuka sehemu zingine za mwili.Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Kuna jamaa tulisoma naye secondary alikuwa ananuka mdomo wanasema sometimes ni intestinal infection ila ulimi unatakiwa upigwe mswaki maana unakutana na mtu asubuh ulimi una rangi ya njano au rangi ya ubuyu.Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.