cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Hapana.Denda huwa inakata akili ya utambuzi!
Hapana.Denda huwa inakata akili ya utambuzi!
Duuh basi hii hatari sana, LolMostly ni tatizo la kiafya,
Ukimpeleka kwa dentist utakuta kuna meno 2 au 1 liko na tooth decay ndo linatema
Kiasi kwamba akiziba tu ndo kupona kws hilo tatizo.
Otherwise hata Aoshe na Sabuni ya dettol harufu haiwezi kuisha.
Duuh hatariii sana.Sio suala la ulimi ni ugonjwa wa shambulio la bacteria na fungus.
Matumizi ya dawa nyingi za meno siku hizi yanachangia kwa kuwa dawa hazina viwango na sidhani kama kuna mtu anajali kuhusu hili
Subiri Haji Mnara aje kujibu hili!Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Una uhakika mkuu?Mwanaume akiwa na hela wadada hata anuke mdomo vipi mmo tuu. Mkishaachana ndo mnaanza ooh nilikuwa nae kimaslahi.
Pumbavu.
Ni balaa, hadi nikatafuta chocho ninawe uso!!Mara nyingi tatizo hilo linatokana na upungufu wa meno ya chini mdomoni(mapengo) ama mpangilio mbovu wa meno.
Uje uchunguze kinywa cha rafiki yako anapoongea.
Nimecheka kama mazuriInawezekana naye ananuka kwa vile ugonjwa mnao wote wawili hamuwezi kujua.
Here's a more detailed breakdown of the causes of halitosis:Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Msiwanyanyapae wenye halitosis, hawajijui na ni multifactorial. Naomba mtaalamu wa afya ya kinywa atusaidieHere's a more detailed breakdown of the causes of halitosis:
Oral Cavity Factors:
Systemic Factors:
- Poor Oral Hygiene: The most common cause is the buildup of bacteria on teeth, tongue, and gums due to inadequate brushing, flossing, and dental cleanings.
- Gum Disease (Gingivitis and Periodontitis): Inflammation and infection of the gums can lead to bad breath.
- Tooth Decay: Cavities and tooth decay can harbor bacteria that produce foul odors.
- Dry Mouth (Xerostomia): Saliva helps wash away food particles and bacteria, so a lack of saliva can lead to bad breath.
- Tongue Coating: A buildup of bacteria and debris on the tongue can also contribute to halitosis.
- Food Particles: Food debris trapped in the mouth can decompose and produce odors.
- Infections: Mouth infections, including tonsillitis, can cause bad breath.
- Respiratory Infections: Conditions like sinus infections, bronchitis, or pneumonia can cause bad breath.
- Gastrointestinal Issues: Gastroesophageal reflux disease (GERD) can cause stomach acid to flow back into the esophagus, leading to a sour odor.
- Diabetes: Uncontrolled diabetes can lead to bad breath.
- Liver or Kidney Disease: These conditions can also contribute to halitosis.
- Certain Medications: Some medications can cause dry mouth or other side effects that lead to bad breath.
- Smoking: Smoking can stain teeth, cause dry mouth, and increase the risk of gum disease, all of which contribute to halitosis.
- Certain Foods: Consuming foods like garlic, onions, and coffee can lead to temporary bad breath.
- Crash Diets: Fasting or low-carbohydrate diets can lead to the production of ketones, which have a strong odor.
Haha hahaaa... ndiyo ile methali ya Wahenga "Usilolijua ni sawa na usiku wa giza" awamu hii nikibahatika kufika Dom salama sitakubali hadi nikuone we Mlibwende...Ahahhaha mtani bana..ukute unapokujaga hapo ndo na mm nipo hapo...
Yaan mda gani mpaka watu inatokea mkahemeana et...Kuhemeana
Inshalaaa tutaonana... 😊 😊 😊 🤣 🤣 🤣 🤣Haha hahaaa... ndiyo ile methali ya Wahenga "Usilolijua ni sawa na usiku wa giza" awamu hii nikibahatika kufika Dom salama sitakubali hadi nikuone we Mlibwende...
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Dah 🤣🤣 mnawasema kwa ukali kama mnawakemea vile😂😂Yaani ni aibu kubwa sana mtu mzima kunuka mdomo na ni kero pia, kwa wengine
Tukiwaambia kwa upole hawabadilikiDah 🤣🤣 mnawasema kwa ukali kama mnawakemea vile😂😂
Huwa unaninusa ety😁😁Hawajijui ni kama wewe tu ambavyo hujijui kuhusu kikwapa
Yap! kujisikia vibaya lazima lkn kwa mtu mwelewa atakuona wewe wa maana sana, kiukweli mimi mwenyewe nampenda sana mtu anaeniambia ukweli wa madhaifu yangu haijalishi litaniuma kiasi Gani lkn nitachukua hatua za haraka kuhakikisha nalekebisha.Kabisa mkuu maana lazima tu muhusika atajisikia vibaya