Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Kupumuliana ndo nini dada 😂😂😂🤗🤗🤗Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.