Hivi watu wanaotafuta mke au mume wa ndoa mitandaoni wanapataga kweli watu sahihi?

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Mara nyingi mitandaoni nimekuwa nikishuhudia mitandaoni sativa ski post mata ohoo natafute MTU wa kuoa, au nahitaji Mwanaume serious wa ndoa mwenye sifa hizi Mara zile .

Napenda kuuliza, hivi hawa watu wanapataga watu sahihi kweli katika mahusiano ya ndoa?
 
Seat ya mbele nipange viti wahusika walete majibu.
 
Asee cjawahi kutongoza mtandaoni kabsa mm natongoza mwanamke live and direct
 
Kuna wanaopata, Kuna wanaokoswa, ila asilimia kubwa huishia njiani baada ya kusasambuana.
 
Wapo...kuna ndoa kule Twitter zimefungwa watu walikutana twitter
 
Niliwahi hudhuria ndoA mbili za watu waliokutana mitandaoni
Na wanaishi pamoja Hadi leo
 
Sianim Kama wanapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…