Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Hivi Profesa mzima unasema eti kati ya watu 100 ni wat 5 tu wanaoajiriwa na serikali. Haya yalipaswa kuongewa kweli na profesa mwenye kujua kufanya utafiti japo tafiti zetu ni ungo?
Sasa kama unaweza kudeclare hivyo kwanini mnawakamata machanguduo wakati mnadeclare kuwa serikali imeelemewa hakuna ajira tena. Kwanini msiwapishe wenye creative minds kwa ajiri ya vijana Hawa.
Bado rais amemuacha ofisi tu mtu ameonesha failures hadharani kwamba hawezi chochote na Hana msaada wowote kwa watu zaidi ya kukaa offisini tu.
Mwingine ni prof mmoja Badala ya kideal na elimu mbovu inavyoharibiwa na private schools yeye anasimamisha walimu wakuu kisa watoto wanecheza nyimbo ya Zuchu. Hivi kwi huu ndo uprofesa?
Private school are enslaving teachers wananyanyasa sana hawana mikataba, graduates analipwa laki mbili kwa mwezi, wanaingia kazini saa kumi na mbili asubuhi wanatoka saa tatu usiku, wananyanganwa simu nk.