Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Sujui niwekeje swali.
Leo Dar mvua kidogo tu, joto limeshuka 26 degrees watu wanatembea na masweta kama wabibi.
Sasa nikaona niangalie na uko Njombe, nakutana na 13 degrees.
Yaani inakuaje kuaje. Asubuhi mtu unaamka, unaoga na kuwahi kazini au mnatumia ujanja gani kupambana na hii hali?