Hivi watumishi wa Umma mliopo Njombe huwa mnaenda kazini kila siku?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Sujui niwekeje swali.

Leo Dar mvua kidogo tu, joto limeshuka 26 degrees watu wanatembea na masweta kama wabibi.


Sasa nikaona niangalie na uko Njombe, nakutana na 13 degrees.



Yaani inakuaje kuaje. Asubuhi mtu unaamka, unaoga na kuwahi kazini au mnatumia ujanja gani kupambana na hii hali?
 
Unaijua vizuri bange ya Njombe?
 
Mazoea mkuu, huku nguvu za kiume hatuna tatizo
 
Niliwah enda njombe pale rum nlipokuwa Malala blankets zilikuwa kama zimemwagiwa maji ya baridi
 
Ungeweza kuizungumzia Njombe bila kuitaja Dar🤣(Natania)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…