Hivi watumishi wa Umma mliopo Njombe huwa mnaenda kazini kila siku?

13 unashangaa mkuu? Subiri next year kuanzia May hadi Agosti mzigo unasoma 3 au 7
 
Watu wa dar wametepeta sana Aise Leo nimepita sehemu asubuhi wakati nafanya Jogging nakuta wadau wamevaa masweta huku wanalalamika Baridi muda huo mimi Navuja jasho balaaa
 
Kuna pesa huko sio poa..nina ndugu yangu ni mtumishi wa umma huko hataki kusikia habari za uhamisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…