Hakika , kwa mazingira yetu hasa hasa kwa self made kuwa well off anabidi atenge kuanzia miaka 15-20 katika uwekezaji ndo anaweza Kuwa amefika viwango vya kuitwa mfanya biashara mkubwa.
As well uchumi wa Tanzania ni very unpredictable , unaamuliwa zaidi na mambo Kama siasa ambayo huchochea purchasing power n.k
Kwahiyo ni muhimu mtu kuwa na unshakable source of income Kama Apartments, mashamba n.k
Then na kuwa na uchumi ambao ni shakable.
Mfano umeona analalamika kuhusu ajira yake kuwa haimlipi anavyotaka Ila hawezi kuiacha ili akomae na biashara maana yake anajua kuwa anaweza kukwama in business akakosa pakushika.
Binafsi Mimi naona hapa Tz Kanunia Kama consistence ,n.k zinafaa Sana Ila kuwa na ule uchumi ambao hauwezi kuathirika na mabadiliko ya kisiasa ndo bora zaidi .
Kama wakati wa Magufuli kampuni , biashara , na taasisi zilifungwa Sana .
Kwahiyo .....