Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
-
- #21
Wakati nateseka na uyatima HAYA MANENO YALIKUWA WAPI?1 Timotheo 6:10
Kwa maana kupenda fedha ndiyo shina moja la maovu ya kila namna. Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha imani na kujichoma wenyewe kwa maumivu mengi.
Okay pole Ila ilikuwa hatua nzuriNilinunua Eka 50 Kilolo mwaka 2019 nikapanda Pine zoteee
2023 ziliungua zoteee na shamba nikauza.
Ikawa mimi na kilimo ndio byebye.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
1 Timotheo 6:10
Kwa maana kupenda fedha ndiyo shina moja la maovu ya kila namna. Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha imani na kujichoma wenyewe kwa maumivu mengi.
Ndio maana nasema jamaa ana ruka ruka hatulii mahala akajipa muda wa kutoshaaOkay pole Ila ilikuwa hatua nzuri
Ndio maana nasema jamaa ana ruka ruka hatulii mahala akajipa muda wa kutoshaa
Nimefanya sana magendo Tunduma.Uhujumu uchumi,wizi,magendo,uuzaji wa madawa ya kulevya,viungo vya binadamu, human trafficking, betting....nk
Chief, mimi ningerudiaUlitaka baada ya kuchoma eka 50 nifanyaje...
Matajiri woote wala hawanaga hizo swaga za kingereza sijui financial intelligence in first place. They only take risks. Hawajali. Tofauti na sisi wasomi.Hebu "Wear my shoes" ili nione hiyo Financial Inteligency yako???
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hakika , kwa mazingira yetu hasa hasa kwa self made kuwa well off anabidi atenge kuanzia miaka 15-20 katika uwekezaji ndo anaweza Kuwa amefika viwango vya kuitwa mfanya biashara mkubwa.Ndio maana nasema jamaa ana ruka ruka hatulii mahala akajipa muda wa kutoshaa
Huna UWEZO HUO.Chief, mimi ningerudia
Matajiri woote wala hawanaga hizo swaga za kingereza sijui financial intelligence in first place. They only take risks. Hawajali. Tofauti na sisi wasomi.
Hizo assets unazipataje bila hela...Hakika , kwa mazingira yetu hasa hasa kwa self made kuwa well off anabidi atenge kuanzia miaka 15-20 katika uwekezaji ndo anaweza Kuwa amefika viwango vya kuitwa mfanya biashara mkubwa.
As well uchumi wa Tanzania ni very unpredictable , unaamuliwa zaidi na mambo Kama siasa ambayo huchochea purchasing power n.k
Kwahiyo ni muhimu mtu kuwa na unshakable source of income Kama Apartments, mashamba n.k
Then na kuwa na uchumi ambao ni shakable.
Mfano umeona analalamika kuhusu ajira yake kuwa haimlipi anavyotaka Ila hawezi kuiacha ili akomae na biashara maana yake anajua kuwa anaweza kukwama in business akakosa pakushika.
Binafsi Mimi naona hapa Tz Kanunia Kama consistence ,n.k zinafaa Sana Ila kuwa na ule uchumi ambao hauwezi kuathirika na mabadiliko ya kisiasa ndo bora zaidi .
Kama wakati wa Magufuli kampuni , biashara , na taasisi zilifungwa Sana .
Kwahiyo .....
Sawaaa...nipo juu ya keyboard ulipo wewe. Ola kwakua na sisi hatuja share ya kwetu basi ache tuonekane keyboard worriors ili ufarijike maana msiba wa wengi ni sherehe.Huna UWEZO HUO.
Usisahau "Upo juu ya keyboard"
HUNA UWEZO HUO.
#YNWA
#YANGA_BINGWA