Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

😂😂😂😂 Kwaio mo vunja bei walishakupa mbinu za kua bilionea huko insta 😂😂😂😂😂....instaaa
 
😂😂😂😂 Kwaio mo vunja bei walishakupa mbinu za kua bilionea huko insta 😂😂😂😂😂....instaaa
Watu kitu ambacho hawajui ni kuwa FRED VUNJABEI alikuwa mtumishi wa umma. Na huko ndio alipata mtaji wake.
 
Mhhh
What i can say
Poleh sana kwa changamoto za kimaisha utotoni, haikuwa kosa lako
May God heal&bless you
Endelea kupambana utafika unapotaka
 
1 Timotheo 6:10
Kwa maana kupenda fedha ndiyo shina moja la maovu ya kila namna. Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha imani na kujichoma wenyewe kwa maumivu mengi.
Hivi kati ya Umasikini na Utajiri kipi ni chanzo cha uovu.
 
Duu unakazi na nafasi fulani ofisi , ,,pia una kampuni sasa utajiri gani mwingine unahitaji zaodi ua hapo au ni tamaa tu zinakusumbua na kufukuza upepo
Nahitaji pesa tena nyingii sanaa.
Pesa zitakazonifanya ni miliki ikiwezekana hata Ndege.

Nataka helaaaa

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wewe hujajua kutengenezewa wateja "Control Number".... 🤔
 
Uza hiyo 0 position aka Mfereji maringo
 
Kaka nimesoma Uzi wako Hatua Kwa Hatua, Kila herufi uliyotype nmeielewa into maximum.
Me ni mwajiriwa taasisi kubwa tu ya kiserikali of course Niko kwenye position kubwa tofauti na Elimu niliyonayo. Me ni Bachelor tu lakn Niko kwenye position ambayo sisitahili maana wapo wenye Masters na waliosoma Zaid lakn wako chini yangu na huu ni mwaka Wa 5 nikiwa on top. Kuhusu pesa siwezi kukufuru, mzigo upo lakn siyo kama wa Abduli lakn upo. Nimeinvest kwenye vitu vitatu tu. Real estates(apartments &Malls), Mfanyabiashara Wa Madini (Dhahabu only) na Currency Exchange. Vyote viko around 20B.
Umezungumzia Elimu na Biashara tu kama vitu ulivyoamin vitakuvusha ila umesahau Kuna Spiritual pia. Naomba nikiri Mimi Kwa position niliyonayo mwaka Wa 5 Sasa siyo Kwa ajili ya hii degree yangu uchwara ya GPA ya 2.5 , Wala siyo Kwa sababu ya connection Wala jembe na nyundo. Ni Kwa sababu ya kuuelewa Zaid ulimwengu in spiritually. AHSANTE
 
Unawinda mtu wa KUTAPELI.

Pumbavuuuuuuu
 
Uliona ile deposit ya IGP kutoka kwa mange kimambi au yale madola madogo wanachezea
We acha mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…