Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

Sijaelewa uhusiano kati ya kujiunga CCM na kuwa tajiri.

Pia sijaelewa kwanini unataka utajiri, hata kama utakuwa kwa njia zisizo halali. Uko tayari kukosa uhuru kwa kuhofia kukamatwa kwa dhulmu zilizokupa utajiri?

Ulipotaabika kama yatima na kunyanyaswa na ndugu zako, tatizo haikuwa kukosekana fedha, tatizo lilikuwa kukosekana maadili na moyo wa huruma. Kama umejifunza jambo, sambaza ujumbe wa upendo na huruma kwa yatima na wasiojiweza. Kujitajirisha kwa dhulma na unyang'anyi sio jawabu.

Ushauri wangu, jikite kwenye kupata mahitaji yako muhimu na akiba kiasi. Usiwe mtumwa wa utajiri kiasi cha kuingia kwenye jinai na dhambi.
1. Ukiwa CCM kwenye hii nchi, halafu ukawa CCM mwenye high CV, basi MAMBO YAKO WE NI SAFIIII
Case Study:- Wana mtandao.

2. Nahitaji utajiri ili niishi yale maisha
i. Niliyoyakosa
ii. Ninayo yatamani

3. Laiti kama baba angekuwa na hela halafu akaziacha urithi, dada yetu aliyekuwa na miaka 25 wakati baba anakufa nadhani angetulea bila shida.
Ila sababu ya umasikini uliosababishwa na i. Maradhi ya baba ii. Kifo cha baba iii. Maradhi ya mama iv. Kifo cha mama, basi shida zilishika hatamu na mateso yakatusulubu.

Hivyo, ni kweli ukosefu wa pesa = umasikini NDIO ULIYOSABABISHA YOTEEE

4. Akiba kiasi ni KIASI GANI?
Nahitaji kuwa na Bil 800, Hii sio akiba kiasi kwa Bhakresa??
""Are we talking about comperative or subjective??""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Weka miti mingine,usitoke kwenye line,panda miti mingine kwingine,Mimi nimeanza upya kupanda miti, Iringa magumashi this time Niko Morogoro nimeanza upya kabisa na wala sina muda na kelele za watu, sababu sishindani na mtu ni passion yangu kupanda miti,na wala Sina haraka hata kama ajira ikiisha poa tuu kila mtu ashinde maechi zake kivyake.
Miti mingi Iko.poa.Ukipata ardhi y pwani kusini inagawiwa nipe mchongo, asset ni mpangozima.
Hivi unajua makete hekari moja inakodishwa kwa zaidi ya laki tano hadi nne,Tupambane mpaka shetbi aseme nehi.
Mimi na KILIMO TUSHAMALIZANA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Means? Kilikulamba?
2017 nilianza kununua ardhi.
Kufika 2019 nikawa na Eka 75 za ardhi/mashamba.

2019 nikaanza kupanda miti, na kufika 2022 nikawa nina
1. Pipe eka 50
2. Parachichi eka 15

2023 kuna raia alienda kusafisha shamba ile location.
Moto ukamshinda aliunguza eka kibaoo za miti ikiwemo mashamba yangu yoteee.

Baada ya ule moto, alikamatwa ila baada ya uchunguzi ikabainika ni mtu MASIKINI SANAAA.

Aliunguza miti ya watu mingi sanaa ikiwemo yangu yotee na parachichi.

Na kufika 2023 nikauza mashamba yoteeee.

Mimi na kilimo ikawa ndio byebye.

Kwasasa nakomaa na biashara/kampuni yangu ila kilimo nehiiii kubwa sanaaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
1. Ukiwa CCM kwenye hii nchi, halafu ukawa CCM mwenye high CV, basi MAMBO YAKO WE NI SAFIIII
Case Study:- Wana mtandao.

2. Nahitaji utajiri ili niishi yale maisha
i. Niliyoyakosa
ii. Ninayo yatamani

3. Laiti kama baba angekuwa na hela halafu akaziacha urithi, dada yetu aliyekuwa na miaka 25 wakati baba anakufa nadhani angetulea bila shida.
Ila sababu ya umasikini uliosababishwa na i. Maradhi ya baba ii. Kifo cha baba iii. Maradhi ya mama iv. Kifo cha mama, basi shida zilishika hatamu na mateso yakatusulubu.

Hivyo, ni kweli ukosefu wa pesa = umasikini NDIO ULIYOSABABISHA YOTEEE

4. Akiba kiasi ni KIASI GANI?
Nahitaji kuwa na Bil 800, Hii sio akiba kiasi kwa Bhakresa??
""Are we talking about comperative or subjective??""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwahiyo ukiwa CCM ndio itakupa uwezo wa kuwa na bil 800? Unamjua nani aliyepata bil 800 kwa sababu ya kujiunga na CCM?
 
"Kwa nguvu ,mamlaka na uwezo wa roho mtakatifu naomba KAZI yenye fedha endelevu amabozo nitawekeza na kupata uchumi mzuri,naomba utulivu pia,naambatanisha na sadaka hii (itaje) katika jina la yesu amen"!!

Unaweza tuna hiyo sadaka Kwa huduma mojawapo unayoikubali zipo nyingi TU,halafu endelea kumdai Mungu kama hivi

"Kwa nguvu na mamlaka ya hazina kuu ya mbinguni ambayo na Mimi nimewekeza sadaka huko naomba unifungulie madirisha ya mbinguni ya kiuchumi"

Just a simple prayer and offerings inaweza kuleta reference mdogo mdogo comrade !just try it!ukipenda unaweza tia kwenye madhabahu hii hapa 0745 642917 jina lije Jacob Steven Gumbo pale Arusha!just try it comrade!!

Nilichojifunza ni kwamba Kuna Bahati mbaya kiroho inakutafuna wewe,has kuungua Kwa shamba na kukosa breakthrough kiuchumi kama hivyo unavyolalamika!!

Nilijaribu hii it works aiseh for sure comrade!!

Uwe muislam uwe mkristo au mpagani Kuna kitu utakiona!!

Hebu jaribu,sipigi promo mkuu,thats personal experience!

Go for it for heaven sake!!

Simply that way!
"....ile hela tuma kwenye namba hii"

Halafu mnajuaga kutafuta "weakness point" eti ".... mikosi imekuandama""
😁😁😄😃😀😆😅🤣

Shabashiiiii "Oooooh shika raba shika rabaaaaaaaaa""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
2017 nilianza kununua ardhi.
Kufika 2019 nikawa na Eka 75 za ardhi/mashamba.

2019 nikaanza kupanda miti, na kufika 2022 nikawa nina
1. Pipe eka 50
2. Parachichi eka 15

2023 kuna raia alienda kusafisha shamba ile location.
Moto ukamshinda aliunguza eka kibaoo za miti ikiwemo mashamba yangu yoteee.

Baada ya ule moto, alikamatwa ila baada ya uchunguzi ikabainika ni mtu MASIKINI SANAAA.

Aliunguza miti ya watu mingi sanaa ikiwemo yangu yotee na parachichi.

Na kufika 2023 nikauza mashamba yoteeee.

Mimi na kilimo ikawa ndio byebye.

Kwasasa nakomaa na biashara/kampuni yangu ila kilimo nehiiii kubwa sanaaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Daaah pole sana mkuu pole, ilikua bahati mbaya, ungetulia tu ujipe muda the urudi tena, pole
 
Anyways toka nimposti Abdul na lile Rolls Royce alilokuwa nalo airport nikaweka na insurance information wamezitoa gari zao kwenye system ya insurance kabisa imebaki moja tu hii ya kwenye picha ya kwanza.
.
Slide 1 & 2-Hii ni Rolls Royce Cullinan-Plate number T389 ELG . Slide ya 3 ndio insurance yake inavyosoma kwenye system. Nillichofanya nikachua chasis number nikaingiza likashuka dude Rolls Royce 2025 Null. .Iko hivi, hii gari ni ya MKUU WA USALAMA WA TAIFA TANZANIA.
Zilisajiliwa Rolls Royce Cullinan 3 siku moja kiasi kwamba namba za usajili zimefatana, ipo hii ya pichani T389 ELG ambayo amepewa zawadi Mkuu wa kitengo kama ahsante ya kuteka na kuua wakosoaji kama kina kina Mzee Kibao na kina Mdude, ipo ingine T380 ELG hiii anayo Elvis mtoto wa kada wa CCM, Angela Kiziga, alafu ipo ile T391 ELG ambayo anayo mtoto wa mwenyekiti wa CCM, Abdul na niliiposti last week akiwa nayo airport akielekea Dubai.
Slide 3- insurance info zake- chukua chasis number ingiza.
Slide ya 4 - matokeo ya kusearch chasis number
Slide 5 &6 - Hii ndio Ferrari ya Elvis Kilango mtoto wa kada wa CCM, Angela Kiziga hapo ni alikuwa anatokea kwao coco beach, na hapo pengine alipaki gari karibu na kwao- Hii Ferrari ina plate number T333 EJZ
Slide 7 - (Not picture of the Actual Car) Hii ni Bugatti Chiron ya Elvis ambayo ana share na Abdul- Hii Bugatti huwa wanaiendesha kwa machale mnooo - Hii ina thamani ya 20 Billion. - Ipo Bugatti moja tu East Africa nzima na iko Tanzania- Owned by mtoto wa Rais na mtoto wa besti wa Rais.
Last slide - Hiyo rolls Royce Wrath Black Badge Ya Abdul- hapo ni Mbweni.

Hizi gari zimeingia nchini kwa Air Tanznaia Cargo!!!!!!
1756764124723.png
 
Watanzania amkeniiii mnalala mna raha gani na huku nchi inafilisiwa na wahuni?? Finally tumepata gari ambayo imesajiliwa kwa majina yao halisi na sio kampuni za mchina…. Yes, nitawaletea mchina wanaemtumia kusajili haya magari. Hili moja sijui wamesahau vipi wakasajili kwa majina yao wenyewe.

Slide 1 - Hii Bentley, ni ile gari ambayo Iko kwenye video niliyoposti jana ambapo mdau alijilipua na kurekodi ndani ya Nyumba ya kada wa CCM Angela Kiziga kupitia matundu ya ukuta, ile gari iliyo nyuma G wagon ndio hii Bentley Bentiga Yenye namba za usajili T 857 EHC . Wataalam wa kucheki plate number na nyie nawakaribisha chekini mjiridhishe kuwa gari linasoma jina la Elvis Kilango.
Slide 2 &3- ushahidi wa registration unaonyesha Bentley hili lipo kwa jina mtoto wa Kada wa CCM Angela Kiziga ajulikanae kama Elvin Kilango.
Slide 4&5-Video iliyotumwa jana ikionyesha hali iliyopo kwa sasa ndani ya nyumba ya kada wa CCM- Angela Kiziga ikionyesha gari hili La bentely likiwa nyuma ya G-wagon.
Slide 6 - Hii ni bima ya hiyo bentely kwenye silde ya kwanza. Gari inalipiwa 23 Mililion per year. Kumbuka kikokoto cha wastaafu 😭😭.
Slide 7&8- Abdul mtoto wa mwenyekiti wa CCM akiwa airport na Rolls Royce Cullinan pamoja na bima yake ikionyesha inalipiwa million 55.
.

Watanzania magari yoooote niliyoposti tokea last week mpaka leo thamani yake kwa pamoja ni zaidi ya 500 Billion. Naomba mniambie hela hizi zingeenda kwenye kuleta maendeleo tungekuwa wapi??? Kumbukeni kuwa hapo ni magari tu, bado nyumba na viwanja wanavyonunua Masaki na Oysterbay. Hapo bado nyumba na maghorofa wanayonunua Dubai. Hapo bado mahoteli wayayojenga Arusha. Watanzania tumekwishaaaaaaaa habari yetu. Jiandiane kulipa makodi na matozo ili mfidie huu ushetani.

1756764237109.png
 
SOma vitabu sana, njoo ujipatie kitabu Cha baba tajiri, baba MASKINI ,Alf njoo soma kitabu Cha Mtu tajiri zaidi babeli Hadi hapo utapata mwanga Bei 10,000 Tsh kimoja nicheki WhatsApp 0756704145
View attachment 3461626
😂😂😂😂Kwamba unataka umpe utajiri kwa elfu kumi tu 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom