Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe endelea kumuona mteja ni mfungwa, mtumwa, au mwizi.tatizo la watu wengi wanaamini mteja ni mfalme hapo ndy shinda inapo anzia.
Hii tabia ipo kwa vidada vya kimasikini vinavyolipwa 100k , na buku 2 ya chipsi na juice mchana, mi nikishaona mdada kwenye duka anaperuzi simu yake yaani nikishasogea nageuka hata bila kuuliza natafuta duka la watu wazima WANAJUA wanatafuta nini. Ni vijana wa kiume wachache sana yaani 5 percent wenye tabia hizi.Hivi hawa wanaoongea na simu wakati mteja anasubiri huduma ni wamiliki wa biashara au wanakuwa ni waajiliwa?
Unaenda mahala wewe kama mteja unakuta huyo anayetakiwa kukuhudumia amepachika simu sikioni yuko kwenye maongezi unakuta hata hayahusiani na biashara.
Huwa najiuliza sana juu ya watu hawa maana sioni kama wana uchungu na hizo biashara.
Hivi hawa wanakuwa ndo wenye hizi biashara au ni vibarua tu maana hawajali wateja kabisa mteja unaweza kusimama tu hapo yeye anaongea na simu au mwingine anakuongelesha wakati hajakata ile simu hana umakini wa wewe uliyepo hapo kama mteja.
Unaweza kuchukia ukaamua kuondoka zako au ukaingia kwenye shop ingine iliyo karibu lakini mwenzio wala hajali anarudi kuendelea na simu zake.
Au hawa ndo michepuko wa boss maana sidhani kama hata waifu mwenye uchungu wa bizness ya familia anaweza akawa hivi.
hao wengi wao ni hawa hapaWewe endelea kumuona mteja ni mfungwa, mtumwa, au mwizi.
Utafika mbali na biashara yako !!!
Naelewa mteja ndiyo anae toa faida ila mhudumu sio mtumwa wa mteja Hivyo tu.Nataka nikufundishe kitu, hapa naona hujaongea kwa kufikilia ila UMEROPOKA.( samahani kwa maneno makali but you deserve it!.
Msemo/Kauli ya mteja ni mfalme hutumiwa na wafanyabiashara wakimaanisha kuwa mteja ndio mtu ambae anaifanya biashara yako ikupe faida hivyo kumfanya aridhike na huduma yako au bidhaa is something you can't escape if you’re serious with your business.
Sasa kanunua mzigo kaweka dukani auze apate faida alafu mteja anamtreat in a way that sounds like "Kama unataka nunua kama hutaki nenda sehemu nyingine " ukitreat wateja kumi hivyo wote wakawa wanakukwepa means umepoteza mauzo ambayo ungeyapata kwa kuwa treat like kings which doesn't cost you anything.
It's simple to please people just make them feel important, kwisha.
Tunacho ongelea Sio kujibiwa vibaya binafsi siungi mkono mhudumu yoyote kujibu vibaya mteja ila kumbuka mteja sio mfalme na mhudumu / mfanya biashara sio mtumwa wa mteja.Hapana it comes with training, train yourself as companies train their customer care.
Piga simu Yas, Airtel, vodacom, tanesco, au Taasisi yoyote waambie upuuzi wowote au visilani vyako uone kama watakujibu vibaya!
Huu ni upuuzi hakuna ex excuses huu ni upuuzi
Sio lazima kukata Kama unaona nakuchelewesha nenda kwingine. Kwangu mm itachukua sekunde Karibu 10 za kumstop Alie nipigia ili nikuhudumie Kama itaweza vumilia ni sawa.Wewe umeona hiyo ni busara, nimekuja unaongea na simu kata, hudumia mteja!
Heshimu kazi yako, heshimu wateja.
Wateja wengine wapuuuzi Sana. Haka ka usemi ka meja ni mfalme kamewapa ujinga watu wengi.Kuna wateja wanaweka order zao kwa kutumia simu alafu unataka akatiwe usikilizwe wewe na umemkuta…
Wewe kwenye eneo lako unafanya vizuri.Wengi vibarua tu ndo maana hawana uchungu wa kupoteza wateja
Yes ni mwajiriwa.Wewe ni muajiriwa eti?
Maana mfanyabiashara hawezi kuongea point za hovyo namna hii!
Wewe kwenye eneo lako unafanya vizuri.
Vyovyote utakavyo nizungumzia ila tambua kua mteja sio mfalme. Ukiishi na mentality yako hiyo utateseka Sana kaka.Hizi zote ni excuses.
Na nimegundua elimu yako ni ndogo sana!
Naungana na wewe mkuu.Yaani uje kipuuzi halafu utegemee nikupe sijui customer care ya Yas sijui voda huko??
Mkuu labda kama hujawahi kufanya biashara na kashkash za wateja huzijui.
Wengine ni majaribu tu, hata hao wa mitandao ni vile hawawaoni hao customers ila kingekua kinawaka, na mbona hata wao wakiona hueleweki wanakata simu.
Ukiwaendekeza wanakupanda kichwani na kukutangazia mbovu kwa wengine, mpe makavu kesho harudii.
Kaja dukani kwako kwakua nae ana shida na mnasaidiana.
Na yeye mteja afate taratibu ulizojiwekea dukani kwako, sio kwakujifanya yeye ni mfalme basi atake umtreat vile anataka yeye hata kama ni nje ya utaratibu wako.
Wewe mdo umetaja hayo majina ya wizi,utumwa na mfungwa ila mteja ni mteja basi . Ana haki ya kuondoka na kuhudumiwa kwingine Kama anaona kwangu hapati huduma Bora Kama atakavyo yeye.Wewe endelea kumuona mteja ni mfungwa, mtumwa, au mwizi.
Utafika mbali na biashara yako !!!
Upo sawa na misimamo yako lakini kwangu mm naona ni ujinga tu yaani nimekuja dukani nakuta mdada anaperuzi sijaongea nae ata kumwambia nataka Nini afu nageuka.! nianze kutafuta duka au huduma ambapo mtu mzima atanihudumia huo mda wa kupoteza Sina.Hii tabia ipo kwa vidada vya kimasikini vinavyolipwa 100k , na buku 2 ya chipsi na juice mchana, mi nikishaona mdada kwenye duka anaperuzi simu yake yaani nikishasogea nageuka hata bila kuuliza natafuta duka la watu wazima WANAJUA wanatafuta nini. Ni vijana wa kiume wachache sana yaani 5 percent wenye tabia hizi.
Nilikakuta kengine duka la dawa kubwa sana lakini kanaangalia dj mavi kwenye simu unakauliza dawa flani ipo kanajibu uku kako bize kwenye simu pale mezani wakati mwingi huelewi kanajibu nini yaani hakakuangalii kanaangalia dj mavi na matafsiri ya uongo uongo hakajali mteja ikabidi niende kwingine nikakuta mdada kajiinamia alivyo niona akaamka kunihudumia.
Wengi wanaolalamika hapa hawajawai kuhudumia wateja,... angalia wadada wa migahawani, bar au grocery wanavyoteseka na wateja, mtu na kielfu tano chake anajiona mfalme full kufoka na kumpelekesha dada wa watu,....ukishakuwa na experience ya kutosha kwenye biashara waweza mtambua mteja kwa muonekano wake tu anavyoingia dukani,....wateja wa bongo hela hawana kutwa kutanga tanga kwenye biashara za watu kuleta majaribu, akuulize bei aseme una bei sana kwa fulani tunanunua hivi, utamwambia kanunue huko, kesho atarudi tena atakwambia nipe tu hivyo hivyo japo una bei weeeh!, Mara alete mazoea ya kishamba shamba hasa wanawake na vinjaa njaa vyao, mara mteja aanze kukupa darasa la biashara unayoifahamu kwa miaka nenda rudi, hapa ungefanya vile hapa ungeweka hiki,...kwa ufupi kwenye biashara yangu sibembelezi mteja NEVER,....anapotoa kihela chake anaona amekupa msaada saaaana, kana kwamba yeye hakuwa na shida na bidhaa aliyochukua....wateja wa kibongo ni pasua kichwa tu,..... kwenye biashara yangu unakuta utaratibu na wewe mteja fuata utaratibu, ukiona sieleweki baada ya kulalamika nenda kwingine, ukishindwa huko waweza itumia hiyo kama fursa ya wewe kupiga hela kwa kufungua biashara yako yenye utaratibu mzuri uonavyo wewe,..hutaki sikukuita uje, waweza kwenda kwingine....all in all, good customer care ni number one priority kwangu,..Yaani uje kipuuzi halafu utegemee nikupe sijui customer care ya Yas sijui voda huko??
Mkuu labda kama hujawahi kufanya biashara na kashkash za wateja huzijui.
Wengine ni majaribu tu, hata hao wa mitandao ni vile hawawaoni hao customers ila kingekua kinawaka, na mbona hata wao wakiona hueleweki wanakata simu.
Ukiwaendekeza wanakupanda kichwani na kukutangazia mbovu kwa wengine, mpe makavu kesho harudii.
Kaja dukani kwako kwakua nae ana shida na mnasaidiana.
Na yeye mteja afate taratibu ulizojiwekea dukani kwako, sio kwakujifanya yeye ni mfalme basi atake umtreat vile anataka yeye hata kama ni nje ya utaratibu wako.