Hivi wauzaji wanaoongea na simu wakati mteja unasubiri huduma ndo wamiliki wa biashara au nao ni waajiriwa?

h
[emoji44][emoji44][emoji44] kwa taarifa yako akiondoka mmoja kaondoka na wateja zaidi ya kumi na je wameondoka wangapi ulioacha wakaondoka?, zidisha mara kumi
akuna kitu kama hicho kwenye biashara, hujui biashara zaidi ya zile mnazodanganywa na hao motivation speaker wenu na watu wa marketing....kaka ukifika kwenye biashara ya mtu fuata utaratibu ulioukuta, ukiona huuwezi nenda kapate huduma unakoona wanakupetipeti ni simple and clear...musitake kupelekesha watu kisa vihela vyenu vya mawazo....mimi sio chizi kuto kukata simu ili nikusikilize wewe, maana nimepima umuhimu wako na wa yule ninaeongea nae kwenye simu...
 
Hapo ndio wakinga wanapowapita kama mmesima
Ingelikuwa hivyo Njombe na Makete vingekuwa mbali sn. Kwa taarifa hakuna sehemu za hovyo kihuduma km kule kwao Njombe na Makete. Wakinga unaowaona Dar wamechangamshwa na Hali halisi w ya ushindani na mchanganyiko walioukuta DSM. Kwao ni hovyo kabisa.
 
k
Kaka wateja wetu wa kibongo bongo ni changamoto sana,..akikuungisha mara tatu tu,..kasheshe inaanza,....mimi naweka utaratibu wa ofisi, mteja akishindwa basi....
Ataanza kujipa mamlaka kama ni mteja wako mkuu, yeye ndio anakupa kula.. bila yeye husongi, ndio hapo ataanza kuomba mkopo au punguzo zaidi.
 
Hivi hawa wanaoongea na simu wakati mteja anasubiri huduma ni wamiliki wa biashara au wanakuwa ni waajiliwa?

Unaenda mahala wewe kama mteja unakuta huyo anayetakiwa kukuhudumia amepachika simu sikioni yuko kwenye maongezi unakuta hata hayahusiani na biashara.

Huwa najiuliza sana juu ya watu hawa maana sioni kama wana uchungu na hizo biashara.

Hivi hawa wanakuwa ndo wenye hizi biashara au ni vibarua tu maana hawajali wateja kabisa mteja unaweza kusimama tu hapo yeye anaongea na simu au mwingine anakuongelesha wakati hajakata ile simu hana umakini wa wewe uliyepo hapo kama mteja.

Unaweza kuchukia ukaamua kuondoka zako au ukaingia kwenye shop ingine iliyo karibu lakini mwenzio wala hajali anarudi kuendelea na simu zake.

Au hawa ndo michepuko wa boss maana sidhani kama hata waifu mwenye uchungu wa bizness ya familia anaweza akawa hivi.
SIo wauzaji tu, hata watoa huduma, bank wana tabia hizo. Suala la kumjali mteja tz ni shida
 
[emoji44][emoji44][emoji44] baada ya muda unaanza kutuwekea misukule kwenye biashara wakati wewe ndio uliyefukuza wateja kwa taarifa yako akiondoka mmoja kaondoka na wateja zaidi ya kumi na je wameondoka wangapi ulioacha wakaondoka?, zidisha mara kumi
Huu ni uongo sio biashara zote ziko hivyo.
Kuna biashara mteja una uhitaji zaidi ya mfanya biashara.
 
Hivi hawa wanaoongea na simu wakati mteja anasubiri huduma ni wamiliki wa biashara au wanakuwa ni waajiliwa?

Unaenda mahala wewe kama mteja unakuta huyo anayetakiwa kukuhudumia amepachika simu sikioni yuko kwenye maongezi unakuta hata hayahusiani na biashara.

Huwa najiuliza sana juu ya watu hawa maana sioni kama wana uchungu na hizo biashara.

Hivi hawa wanakuwa ndo wenye hizi biashara au ni vibarua tu maana hawajali wateja kabisa mteja unaweza kusimama tu hapo nunuayeye anaongea na simu au mwingine anakuongelesha wakati hajakata ile simu hana umakini wa wewe uliyepo hapo kama mteja.

Unaweza kuchukia ukaamua kuondoka zako au ukaingia kwenye shop ingine iliyo karibu lakini mwenzio wala hajali anarudi kuendelea na simu zake.

Au hawa ndo michepuko wa boss maana sidhani kama hata waifu mwenye uchungu wa bizness ya familia anaweza akawa hivi.
 
Ataanza kujipa mamlaka kama ni mteja wako mkuu, yeye ndio anakupa kula.. bila yeye husongi, ndio hapo ataanza kuomba mkopo au punguzo zaidi.
kwakweli mi nafurahia sana kuhudumia wateja wapya, kuliko wateja wale wale kila siku,...ndo maana biashara yangu imekaa kimtindo huo, yani nahudumia mteja leo na pengine sitakuja kumuona tena,..
 
Hivi hawa wanaoongea na simu wakati mteja anasubiri huduma ni wamiliki wa biashara au wanakuwa ni waajiliwa?

Unaenda mahala wewe kama mteja unakuta huyo anayetakiwa kukuhudumia amepachika simu sikioni yuko kwenye maongezi unakuta hata hayahusiani na biashara.

Huwa najiuliza sana juu ya watu hawa maana sioni kama wana uchungu na hizo biashara.

Hivi hawa wanakuwa ndo wenye hizi biashara au ni vibarua tu maana hawajali wateja kabisa mteja unaweza kusimama tu hapo yeye anaongea na simu au mwingine anakuongelesha wakati hajakata ile simu hana umakini wa wewe uliyepo hapo kama mteja.

Unaweza kuchukia ukaamua kuondoka zako au ukaingia kwenye shop ingine iliyo karibu lakini mwenzio wala hajali anarudi kuendelea na simu zake.

Au hawa ndo michepuko wa boss maana sidhani kama hata waifu mwenye uchungu wa bizness ya familia anaweza akawa hivi.
Hili ni tatizo sana na wakikosa wateja hawakawii kusema wamerogwa.
 
Picha linaanza naingia pharmacy namkuta mdada anapiga story na malaya mwenzake namwambia anipe condom eti wanacheka na mwenzake huko wakizidi kuongea wkt huo nimemuacha slay queen lodge akisubiri nimpelekee moto.

Nilitamani niwachape makofi
 
Mimi nikikuta
🇮🇱 Mhudumu anaongea na simu na anataka kulazimisha kunihudumia huku akiongea na simu

🇮🇱😉 Akiwa anakula hasa hasa ugali halafu anataka kunihudumia

🇮🇱 Anaosha mtoto dukani halafu anataka kunihudumia

🇮🇱Nimetangulia lakini anakuja mtu mwingine anapiga kelele Toka mbali na kinyoosha mkono kutoka hela na muuzaji akiniruka na kuanza kumsikiliza

HUWA NAONDOKA MARA MOJA NA HAPO SIRUDI TENA. Customers care kwa bongo ni tatizo kubwa
Mimi huwa nikitaka kula naondoka naenda lia sehemu nyingine basi nikirudi wateja wanasema nalinga sana maana najali kula kuliko kazi

Aiseee sasa wadau tusile?
 
Huwa wanaboa sana wapuuzi hao...

Tanzania watu wakiwa na uhakika tu wa kushiba wana dharau sana.

Ndiyo maana ambao biashara zinafika mbali sana ni wachache....
 
Mimi huwa nikitaka kula naondoka naenda lia sehemu nyingine basi nikirudi wateja wanasema nalinga sana maana najali kula kuliko kazi

Aiseee sasa wadau tusile?
wengine wanakwambia umekuwa mzurulaji sana siku hizi,....kana kwamba wao hawana dharula,...wateja wakibongo, pasua kichwa tu
 
Wanataka customer care wakat wenyewe hawana customer discipline

Halafu uwelewa mdogo kwa wengi wao ndio maana wanalalamika kuhusu huduma mbongo ili umpate uwe mwalimu yaani hata kuunga vocha hawajui mtu ananunua vocha kwingine anaenda kumpa muuzaji mwingine amuekee
 
mimi kwakweli sicheki na mteja, nina experience ya miaka tisa mpaka sasa, wateja nawajua kama kiganja cha mkono,...kuna wakati mtu anaingia ofisini, gia yake tu yakuingilia najua, tatizo hili....ni vyema ukaweka utaratibu mzuri tu dukani, lakini usitegemee kila mteja atauelewa.....niliwahi msoma mtaalamu mmoja alieleza kuhusu hili jambo, alisema "watu wengi wanaoacha kazi kwenda kuanzisha biashara kisa boss wa kazini ni mshenzi, huwa hawajui kuwa boss wao mpya ambaye ni wateja ni mshenzi, mpumbavu,mkarimu na mwerevu kiasi gani, hapa wengi biashara huanza kuwashinda"... wateja ni pasua kichwa, wameshanifunza hadi majibu ya Yesu..🙌🙌🙌
 
Wanataka customer care wakat wenyewe hawana customer discipline

Halafu uwelewa mdogo kwa wengi wao ndio maana wanalalamika kuhusu huduma mbongo ili umpate uwe mwalimu yaani hata kuunga vocha hawajui mtu ananunua vocha kwingine anaenda kumpa muuzaji mwingine amuekee
kwenye suala la uelewa hapo ndo zero ndugu yangu, nafikiri ni kama ni laana,...
 
Back
Top Bottom