Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Na huyu ndio kiongozi wao wa kupasua vichwakwenye suala la uelewa hapo ndo zero ndugu yangu, nafikiri ni kama ni laana,...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huyu ndio kiongozi wao wa kupasua vichwakwenye suala la uelewa hapo ndo zero ndugu yangu, nafikiri ni kama ni laana,...
🤣🤣😂🤣 ukimpiga huyo, kesho atawazuia watu kuja dukani kwako kuwa unatabia ya kupiga wateja🙌🙌😂Na huyu ndio kiongozi wao wa kupasua vichwa
Siku moja wateja wawe wafanyabiasha nao waone wanavyozingua binafsi toka niwe customer service asaivi nikienda dukani kwa mtu huwa nakuwa na nidham ya hali ya juu sana pamoja na uvumilivu🤣🤣😂🤣 ukimpiga huyo, kesho atawazuia watu kuja dukani kwako kuwa unatabia ya kupiga wateja🙌🙌😂
Wateja hawajui kuwa mtoa huduma nae ni binadamu yupo hapo dukani huenda kwa masaa 22 bila kupumzika lakini jitu linakuja kuja tu maneno kibao kisa chench aloshika hata madereva wenyewe ukiwasemesha shombo wanagongesha gari wanasepa kule🤣🤣😂🤣 ukimpiga huyo, kesho atawazuia watu kuja dukani kwako kuwa unatabia ya kupiga wateja🙌🙌😂
mimi biashara, nilianza ya familia kisha chini ya mtu baki , mwisho biashara zangu,......so wateja nawafahamu vyemaSiku moja wateja wawe wafanyabiasha nao waone wanavyozingua binafsi toka niwe customer service asaivi nikienda dukani kwa mtu huwa nakuwa na nidham ya hali ya juu sana pamoja na uvumilivu
Wewe ni mpumbafuHakuna Cha ufalme shida yako ndo imekupeleka pale. Hata hivo maamuzi ulo chukua ni sahihi kabisa. Hupaswi kulalamika wakati ulikua na option ya kwenda kupata huduma kwingine.
Mi ndo maana nawaelewa sana makondakta wa Daladala, wanawezana sana na wateja wetu pasua vichwa hawa,...😂😂Wateja hawajui kuwa mtoa huduma nae ni binadamu yupo hapo dukani huenda kwa masaa 22 bila kupumzika lakini jitu linakuja kuja tu maneno kibao kisa chench aloshika hata madereva wenyewe ukiwasemesha shombo wanagongesha gari wanasepa kule
Sasa assume saiz mteja kalala mimi nipo dukani toka saa 11 asubui kesho tena asubui nipo dukani kabla hata huyo mteja hajaamka halafu ukienda msalani tu au kupiga chai utasikia fulani analinga kwakuwa hana mpinzani pale yani sijui wanatuona sisi marobotimimi biashara, nilianza ya familia kisha chini ya mtu baki , mwisho biashara zangu,......so wateja nawafahamu vyema
Mimi nilichogundua kwenye utoaji hudumu ni ile kauli kila mtu na mtuweMi ndo maana nawaelewa sana makondakta wa Daladala, wanawezana sana na wateja wetu pasua vichwa hawa,...😂😂
exactly,.... kuna washenz wakija dukani kwako wanaona wanakutajirisha sana kwa pesa zao...Mimi nilichogundua kwenye utoaji hudumu ni ile kauli kila mtu na mtuwe
Yani mteja mkisomana tabia huyo hata umfanyeje au akufanyeje atakuwa mteja wako milele ila kama hamjasomana tabia hata umfanyeje atakuruka tu
Na wateja wakorofi siku zote hupaya paya leo pale kesho kule, leo mnagombana anaenda kwa mwingine siku si nyingi huko tena kaenda kugombana na mhudumu anarudi kwako hivyo huwezi kumhandle mteja pasua kichwa hata siku moja
Kama mleta madaexactly,.... kuna washenz wakija dukani kwako wanaona wanakutajirisha sana kwa pesa zao...
Huyo anayeongea naye kwenye simu unaweza kuta ni mteja wa jumla wa mbali, wewe unayejikuta Mfalme ni mteja wa rejareja. Kama unaona ni wa muhimu sana ondoka kahudumiwe kwingine.Wewe umeona hiyo ni busara, nimekuja unaongea na simu kata, hudumia mteja!
Heshimu kazi yako, heshimu wateja.
Una hasira sana mkuu, pole....h
akuna kitu kama hicho kwenye biashara, hujui biashara zaidi ya zile mnazodanganywa na hao motivation speaker wenu na watu wa marketing....kaka ukifika kwenye biashara ya mtu fuata utaratibu ulioukuta, ukiona huuwezi nenda kapate huduma unakoona wanakupetipeti ni simple and clear...musitake kupelekesha watu kisa vihela vyenu vya mawazo....mimi sio chizi kuto kukata simu ili nikusikilize wewe, maana nimepima umuhimu wako na wa yule ninaeongea nae kwenye simu...
🙄🙄🙄🙄🙄 hizi ni akili za binadamu au za chanjo ya kovidi?Huyo anayeongea naye kwenye simu unaweza kuta ni mteja wa jumla wa mbali, wewe unayejikuta Mfalme ni mteja wa rejareja. Kama unaona ni wa muhimu sana ondoka kahudumiwe kwingine.
Siku hizi biashara mtandaoni, mnahisi kuna bots zinajibu na kufanya bargain zenyewe? Kuna chats, calls, orders, complaints zote hizo zihudumiwe. Mteja mpumbavu ni yule anayehisi yuko peke yake kwenye eneo la biashara.
Yaani kufika duka la furniture ukakuta mhudumu anaongea na simu ukamuuliza "hiki kitanda bei gani" akasimamisha mazungumzo kwenye simu kisha kukujibu "laki nane" kisha akaendelea kumalizia call yake kuna shida gani?
Yani unataka ukiingia eneo la biashara kila kitu kisimame ili uanze kulilia bei. Angalia mazingira
Cutomer care ni taaluma kabisa inasomewa darasani ndio maana ukipiga simu vodacom hata uwatukane vipi wanakujibu kwa upole na kukubembeleza mpaka unalainika!Wateja hawajui kuwa mtoa huduma nae ni binadamu yupo hapo dukani huenda kwa masaa 22 bila kupumzika lakini jitu linakuja kuja tu maneno kibao kisa chench aloshika hata madereva wenyewe ukiwasemesha shombo wanagongesha gari wanasepa kule
Hizo emoji za kikekike ndio zinakufanya uwe na akili za kidemu na nyodo, unakuwa entitled na kulazimisha mazingira yasiyowezekana.🙄🙄🙄🙄🙄 hizi ni akili za binadamu au za chanjo ya kovidi?
Biashara zimevamiwa!!
Hata leseni za biashara zitazamwe upya, anayetaka kufanya biashara awe na ujuzi wa kielimu na kimaadili.
Vibarua kama nyie mnaipotezea hata nchi mapato. Dooh nimecheka 😂😂
We una hasira sana, ndo maana biashara imekushinda.Hizo emoji za kikekike ndio zinakufanya uwe na akili za kidemu na nyodo, unakuwa entitled na kulazimisha mazingira yasiyowezekana.
Ningekupeleka kwa Mhindi mmoja supplier wa vifaa umletee upuuzi wako wa masharti uone anakutimua dukani kwake.
Wakati wewe unaamini mfanyabiashara hatakiwi kupokea simu, wateja wa online au wa kupiga simu waachwe kisa vishilingi vyako we mshamba mmoja?
Yani mtu mauzo yake yanategemea orders kutoka mikoani, au wateja wa delivery aache kupokea incoming calls hasa namba ngeni kisa ngedere mmoja anayejiita "Mfalme" huku hataki kusema hitaji lake.
Au mfanyabiashara kaacha mtoto anaumwa nyumbani, imepigwa simu na mdada wa kazi aache kupokea kujua kipi kinajiri kisa visenti vyako hivyo?
Kama ungekuwa wa muhimu si angekufuata yeye, umetoa kwato zako umekuja kama vipi tokomea nenda kwingine.
Ukipiga simu Vodacom unasubirishwa. Huwa wanakata simu ya wanayeongea nae ili wapokee wewe maskini uliyekosa muamala wako wa elfu tatu mia tano?Cutomer care ni taaluma kabisa inasomewa darasani ndio maana ukipiga simu vodacom hata uwatukane vipi wanakujibu kwa upole na kukubembeleza mpaka unalainika!
Hiyo ndiyo biashara, na wanaingiza matrilioni ya fedha.
Wewe na kaduka chako cha shilingi laki moja na nusu unaleta nyodo, shule yenyewe huna unabwata tu kama ngiri. Looh 😂😂
Wateja wanakera ndio, lakini mfanyabiashara lazima uwe na skills za kuendana nao ili uingize pesa....... lengo la biashara ni kupata maximum profit na sio kuweka makasiriko.
Utafoka sana na kaduka kako hako, sijui ni kibarua wewe! Yaani ni shida ,😂
Napendekeza hata uteja nao usomewe na kutolewa na vyeti kabisa ili wateja wajitambueCutomer care ni taaluma kabisa inasomewa darasani ndio maana ukipiga simu vodacom hata uwatukane vipi wanakujibu kwa upole na kukubembeleza mpaka unalainika!
Hiyo ndiyo biashara, na wanaingiza matrilioni ya fedha.
Wewe na kaduka chako cha shilingi laki moja na nusu unaleta nyodo, shule yenyewe huna unabwata tu kama ngiri. Looh 😂😂
Wateja wanakera ndio, lakini mfanyabiashara lazima uwe na skills za kuendana nao ili uingize pesa....... lengo la biashara ni kupata maximum profit na sio kuweka makasiriko.
Utafoka sana na kaduka kako hako, sijui ni kibarua wewe! Yaani ni shida ,😂