Omulasil JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 8,015 Reaction score 10,269 Aug 3, 2020 #21 Zilikuwa 42 route zikapunguzwa bado akili haifanyi kazi wanatafuta mbinu mbovu za kufanya economic hijack kwa Tz. Sasa Zero route.
Zilikuwa 42 route zikapunguzwa bado akili haifanyi kazi wanatafuta mbinu mbovu za kufanya economic hijack kwa Tz. Sasa Zero route.
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Aug 3, 2020 #22 Nyie wakenya mnashangaza sana, huku Tz kuna corona kama mnavyosema, sasa mnataks ndege zenu zije kufanya nn??? Ni nini mnapata ndege zenu kuja huku? Mbona sisi hatulalamiki ndege zetu kutokuja huko?
Nyie wakenya mnashangaza sana, huku Tz kuna corona kama mnavyosema, sasa mnataks ndege zenu zije kufanya nn??? Ni nini mnapata ndege zenu kuja huku? Mbona sisi hatulalamiki ndege zetu kutokuja huko?
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,938 Reaction score 6,942 Aug 3, 2020 #23 Ntaghacha said: Si walituambia wangeanza Jana mkuu?au ndio maana sikuskia kauli ya kiongozi yeyote wa TZ hata baada ya Macharia kupiga domo? Click to expand... Tuzuie sisi, aruhusu kichaa wa UK Macharia? Never ever
Ntaghacha said: Si walituambia wangeanza Jana mkuu?au ndio maana sikuskia kauli ya kiongozi yeyote wa TZ hata baada ya Macharia kupiga domo? Click to expand... Tuzuie sisi, aruhusu kichaa wa UK Macharia? Never ever