Kwa uelewa wangu;
Uswisi ina vijana wengi wenye asili ya kiarabu kwakua ilipokea wakimbizi na watafuta maisha wengi wa kiarabu kitambo sasa. Wengi walikubaliwa na kuwa sehemu ya Uswisi na hata wamezaa vizazi na vizazi hapo. Why wazungu sio wengi kwenye timu yao ni mambo mengi; hobby, uvivu/kujituma, starehe, michezo mbadala, nk.
Ufaransa nayo wengi tunajua ni kimbilio la West Africans na Wamoroco, Walibya, Waalgeria na wengine wa huko. Wazawa (Wafaransa) ni wapenda bata. Wanapenda kukuona ukiwastarehesha; uwaimbie, uwakatikie/dance, mpira kama hivyo, nk. Ndio maana wahamiaji wanapata sana nyingi kwenye national team.