Hivi wazungu hawachezi Football?

Hivi wazungu hawachezi Football?

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,410
Reaction score
1,325
Wakuu nachek mechi ya yuro hapa ufaransa na uswisi naona timu zote mbili zimejaza waafrika na waarabu tu. Je ina maana wazungu kwenye nchi hizi hawachezi mpira au?
 
Mkuu Wangekuwa wanacheza mpira si ungewaona nao hapo uwanjani? Au macho yako yana tatizo la kushindwa kunyumbulisha rangi (Colour blind?)
 
Wakuu nachek mechi ya yuro hapa ufaransa na uswisi naona timu zote mbili zimejaza waafrika na waarabu tu. Je ina maana wazungu kwenye nchi hizi hawachezi mpira au?

Timu ikiwa na waafrika wengi nalo ni tatizo
 
Kwa uelewa wangu;

Uswisi ina vijana wengi wenye asili ya kiarabu kwakua ilipokea wakimbizi na watafuta maisha wengi wa kiarabu kitambo sasa. Wengi walikubaliwa na kuwa sehemu ya Uswisi na hata wamezaa vizazi na vizazi hapo. Why wazungu sio wengi kwenye timu yao ni mambo mengi; hobby, uvivu/kujituma, starehe, michezo mbadala, nk.

Ufaransa nayo wengi tunajua ni kimbilio la West Africans na Wamoroco, Walibya, Waalgeria na wengine wa huko. Wazawa (Wafaransa) ni wapenda bata. Wanapenda kukuona ukiwastarehesha; uwaimbie, uwakatikie/dance, mpira kama hivyo, nk. Ndio maana wahamiaji wanapata sana nyingi kwenye national team.
 
Back
Top Bottom