Huyu Dada apart from being a former miss Tanzania 2006 haijulikani ni shughuli gani anayoifanya kwakweli.
Nimepitia profile ya page yake ya Instagram naona kaandika yey e ni actress ila so far sijaona movie yoyote aliyoitoa.
Nasikia eti ni MTU maarufu, sasa najiuliza kama umaarufu ndio ajira yake au vipi?
Ni kati ya watu maarufu ambao hata kazi zao hazijulikani ni zipi.
Msiniambie tu kuwa yeye ni actress maana hata hizo movie hazionekani!
Mkuu...usiniuzi kwa kujifanzisha ati hujui kuwa ktk Tanzania, na hususa Bandari ya salama, kuna tasnia mpya ya "kutoa mapendo kwa malipo"..[emoji35]Huyu Dada apart from being a former miss Tanzania 2006 haijulikani ni shughuli gani anayoifanya kwakweli.
Nimepitia profile ya page yake ya Instagram naona kaandika yey e ni actress ila so far sijaona movie yoyote aliyoitoa.
Nasikia eti ni MTU maarufu, sasa najiuliza kama umaarufu ndio ajira yake au vipi?
Ni kati ya watu maarufu ambao hata kazi zao hazijulikani ni zipi.
Msiniambie tu kuwa yeye ni actress maana hata hizo movie hazionekani!
Keshahamia CHADEMA huyo, so be ready to absorb the shockwave from brainless admirers ambao hawako tayari kuona upande wao unajadiliwa hata kama ni fair discussionHuyu Dada apart from being a former miss Tanzania 2006 haijulikani ni shughuli gani anayoifanya kwakweli.
Nimepitia profile ya page yake ya Instagram naona kaandika yey e ni actress ila so far sijaona movie yoyote aliyoitoa.
Nasikia eti ni MTU maarufu, sasa najiuliza kama umaarufu ndio ajira yake au vipi?
Ni kati ya watu maarufu ambao hata kazi zao hazijulikani ni zipi.
Msiniambie tu kuwa yeye ni actress maana hata hizo movie hazionekani!
Umesoma nilichoandika au umekurupuka tu?Acheni hizo kwani dada zenu hawapigwi pumbu?
Umechemka mkuu.ACHENI KUCHUNGUZA MAISHA YA WATU KATIKA HII DUNIA KILA MTU ANAISHI KWA STYLE YAKE ANAVYOJUA YEYE ,....
MLETA MADA HADI SASA UMRI ULIOFIKIA ULITAKIWA UJIPIME NA UJICHUNGUZE HADI SASA UMRI UNAKWENDA NI KITU GANI NIFANYE ILI NITOKE KATIKA MAISHA
HAO WENZENU WA KINA WEMA MNAWAPONDA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII WAMESHATOKA KIMAISHA SASA HIVI WANA MAGARI, NYUMBA, VIWANJA, PESA ,......
USHAULI WANGU KWA VIJANA TUFANYENI KAZI TUTOKE KIMAISHA HABARI ZA KUCHUNGUZA MAISHA YA WATU HAZITATUPELEKA POPOTE.
Huyu Dada apart from being a former miss Tanzania 2006 haijulikani ni shughuli gani anayoifanya kwakweli.
Nimepitia profile ya page yake ya Instagram naona kaandika yey e ni actress ila so far sijaona movie yoyote aliyoitoa.
Nasikia eti ni MTU maarufu, sasa najiuliza kama umaarufu ndio ajira yake au vipi?
Ni kati ya watu maarufu ambao hata kazi zao hazijulikani ni zipi.
Msiniambie tu kuwa yeye ni actress maana hata hizo movie hazionekani!
Hiyo 'fair discussion' ndo mmeikumbuka leo? hilariousKeshahamia CHADEMA huyo, so be ready to absorb the shockwave from brainless admirers ambao hawako tayari kuona upande wao unajadiliwa hata kama ni fair discussion
Iko hapa always. Ila tu usihusishe upande wa "malaika "Hiyo 'fair discussion' ndo mmeikumbuka leo? hilarious
Ndo upi huo upande?Iko hapa always. Ila tu usihusishe upande wa "malaika "
Very true,,,, kweli Umesema vemaKeshahamia CHADEMA huyo, so be ready to absorb the shockwave from brainless admirers ambao hawako tayari kuona upande wao unajadiliwa hata kama ni fair discussion