Si ungemuuliza? Maana sisi ukituuliza tutakupa jibu ulilokutana nalo profile. Pia unaweza kuangalia movie yake inaitwa MKWE au TROUBLE MAKER kama kianzio kujua kama ni actress au nini.Huyu Dada apart from being a former miss Tanzania 2006 haijulikani ni shughuli gani anayoifanya kwakweli.
Nimepitia profile ya page yake ya Instagram naona kaandika yey e ni actress ila so far sijaona movie yoyote aliyoitoa.
Nasikia eti ni MTU maarufu, sasa najiuliza kama umaarufu ndio ajira yake au vipi?
Ni kati ya watu maarufu ambao hata kazi zao hazijulikani ni zipi.
Msiniambie tu kuwa yeye ni actress maana hata hizo movie hazionekani!