Hivi wema anafanya kazi gani?

Si ungemuuliza? Maana sisi ukituuliza tutakupa jibu ulilokutana nalo profile. Pia unaweza kuangalia movie yake inaitwa MKWE au TROUBLE MAKER kama kianzio kujua kama ni actress au nini.
 
Kuwa Maarufu then huna talent lakini ukafanikiwa kuwafanya watu wakupende na kukufuatilia nacho ni kipaji,Hiki Wema amejaaliwa kuwa nacho...Lakini hata hivyo Wema pia ni Actress japo hutokea kwenye MOVIES mara chache sana,lakini pia Wema ni socialist,anaappear kwenye events mbalimbali kama special appearence,ukimuita unamlipa,ila kwenye politics pia anatumika mf. Kauli mbiu ya MAMA ONGEA NA MWANAO Yeye ndiye alikuwa Pioneer wa Hiyo Movement na kwa kiwango kikubwa ilichangia kuisaidia CCM Kuingia madarakani 2015
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
IQ ipo juu sanaa.
Umetoa mtihani mkubwa!!!
 
Sio Wema tu, asilimia kubwa ya wakazi wa Jiji la Dar hawana kazi maalum lakini maisha yao yanaendelea tu. Hayo maswali mengine muulizane huko huko Iringa
Ni kati ya majobless maarufu hapa bongo!
 
Nimekupenda saaana!!!
 
Sio Wema tu, asilimia kubwa ya wakazi wa Jiji la Dar hawana kazi maalum lakini maisha yao yanaendelea tu. Hayo maswali mengine muulizane huko huko Iringa
Mkuu nikukute central, unametudhalilisha watu wa Iringa
 
amazing answer.. jibu limejitosheleza.
 
Nasikia kalipwa usd 200,000 na chama fulani,labda wao ndio wanaweza kueleza zaidi shughuli zake
 
ana kazi maalum.. mradi haombi msaada mwacheni.....
 
bora wema anajulikana na maelfu ya watu haya wewe ni nani?? hebu twambie
 
kila mtu ana uhuru wa kujiunga na chama chochote cha siasa kilichosajiliwa.. tusiwape watu matusi kwa kutuhama kwenye chama...
nenda Wema ukapate baraka huko pengine huku hapakuwa kwako
 
Sio Wema tu, asilimia kubwa ya wakazi wa Jiji la Dar hawana kazi maalum lakini maisha yao yanaendelea tu. Hayo maswali mengine muulizane huko huko Iringa
Hapo kwenye iringa hapo ndo umeharibu. Usiniambie ww eti ni was dar?
 
Katika ile audio clip mama Wema kasikika akimwambia steve akisema" Wema kamfanyia kazi ngapi Daudi Bashite?" Kwahiyo muulize Daudi kazi anayofanya Wema atakujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…