Hivi wema anafanya kazi gani?

Mtaaji wa mwanamke anazaliwa nao. Sasa wewe endelea kumchunguza
 
Mtakoma misisiemu mwaka huu mtaongea sana kazi yake ya nn unataka kujua unamdai au we bodo ya uchunguzi wa kazi za watu
 
Wewe upo upande gani?
 
Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unafiki duniani. Umeshindwa kumuuliza kipidi yuko ccm unakuja kuuliza leo kwa vile kaama chama...... wakati mwingine jaribu kutumia akili ata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…