Hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha?

Hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha?

Tuttyfruity

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
2,414
Reaction score
6,371
Habarini!

Mimi nina swali hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha. Najiskia kuchoka sana. Everyday I must worry about something. Yani matatizo hayaishi. Is this life? Being in constant worry and anxiety? Yani nawaza vitu chungu nzima. How do you handle life? Especially alone?

I tried calling my boyfriend but it seems we are both immature and I end up feeling like I have no one to rely on. Is life just an endless state of worry and thinking? I wish I had a partner I could lie down next to and pour out my heart .someone who could meet me halfway or pick up the slack when I feel inadequate.

Nilikua nawashangaa watu ambao wanaingia mitandaoni wakilia kwamba wapo alone, nikawa najiuliza ni genye ndo linawaliza 🤣 kumbe bhana unaweza ukawa na matatizo huna wakumuhadithia.

Adulting is a scam. I’m so tired I wish I could sleep forever and never wake up.
 
Vitoto vya siku hizi vikikosa hela vinapata depression, na vikipata hela vinaitumia vibaya vibaya tu kununua madude yasio na value then vinarudi kwenye depression. Hawa watoto wa 2000s sijui hata kama watatoboa 50s
Tuheshimiane, this is an anonymous forum otherwise unaweza kukuta nimekuzidi umri. Keyboard isikupe guts za kif.a.la
 
Vitoto vya siku hizi vikikosa hela vinapata depression, na vikipata hela vinaitumia vibaya vibaya tu kununua madude yasio na value then vinarudi kwenye depression. Hawa watoto wa 2000s sijui hata kama watatoboa 50s
Mtoa maada kajiunga forum 2017 halafu wewe 2019 inaonekana yeye ndo kakuzidi umri na ujanja ila tu ana depression kdg jambo la kawaida kabisa
 
Screenshot_20240513-201456.png
 
Darling, pole sana. Ndio ukubwa huo.

Cha msingi kutambua ni kwamba nyakati ngumu hazidumu, yote unayopitia yatapita. Tafadhali usikate tamaa, hakuna mwenye maisha yasiyokuwa na misukosuko.

Unaweza kuwaona wengine kama wanafurahia zaidi maisha, kumbe ni vile wamekubaliana na mapito yao. Nawe kuwa mmoja wao, furahi bila kujali unayopitia kwani hayo ndio maisha. Changamoto haziishi.

Pole sana.
 
Kusoma kwangu kote kwa lugha ya kiingereza, ujumbe wa huyu Mama sijauelewa. What do you really want sasa?.(Na mimi nichanganye lugha kidogo).

Otherwise Subira ya vuta heri,

Maana mpenzi unae,

Pesa unapata.

Shida yako nini wewe mwanamke, na sisi unataka tuchangie nn kwemye sintofahamu hii?
 
Kusoma kwangu kote kwa lugha ya kiingereza, ujumbe wa huyu Mama sijauelewa. What do you really want sasa?.(Na mimi nichanganye lugha kidogo).

Otherwise Subira ya vuta heri,

Maana mpenzi unae,

Pesa unapata.

Shida yako nini wewe mwanamke, na sisi unataka tuchangie nn kwemye sintofahamu hii?
Shida yake ni loneliness(upweke wa kutoa ya moyoni) unajua kuna muda maisha yanakuboa. Sasa unahitaji wa kuongea nae mambo ya kijinga jinga na mambo ya msingi yanayo mzunguka. Boy wake akili zimefanana anahitaji mkubwa wa kumpa muongozo kwa yanayo msumbua moyoni.
 
Moja Kati ya mtihani mgumu alio nao mwanadamu ni kutuliza moyo wake. Unapaswa kufanya mambo bila kutegemea chochote, weka bidii ma malengo kwenye mambo yako ila matokeo achia asili iamue. Ukijua asili inavyo fanya kazi hauto sumbuliwa na kesho.
 
Back
Top Bottom