PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Safi sana, nimependa jinsi ulivyo concerned na maisha. Sio wale wanaochukulia kama kombolela mtu abutue waokolewe. Ule ni ufala.
Ushauri wangu ni hivi. Stop worrying about life. Stop worrying about your life for a 100 percent. Wasiwasi utakufanya upate msongo wa mawazo na hiyo ni L.
Why worrying? Wapi umesikia Dar es salaam au Mwanza mtu amekufa kwa kukosa chakula au sehemu ya kujificha mvua? Hakuna.
Kitu muhimu usiishi kufurahisha macho ya watu. Yaani usiishi maisha ya kuigiza. Kuwa real. Ishi maisha yako halisi wala usiogope kudharauliwa. Kwanza kudharauliwa maisha ya kitanzania ni advantage kubwa sana. If no body count on you then you have all the time for yourself.
Achana na boyfriend. Mapenzi always ni scam,ask me. Hiyo ni topic nyingine lakini kwa kifupi siku hizi kila mtu yuko kwenye mapenzi kwa ajili ya vitu zaidi kuliko unavyofikiria wewe.
Hapo ulipo sasa ni mahali sahihi kabisa. Ulivyoandika nafikiri bado wewe ni kijana mbichi. Usikimbilie kupata mimba, it's a trap, kwanza subiri kidogo. Fanya unachofanya, jaribu kujiongeza mdogo mdogo itajipa tu. Kitu cha kufanya, hata ukipata coin unaitunza ikutane na nyingine. Ubahili ndio siri kubwa. Unatakiwa usicheke na nyani utavuna mabua.
Sijui nilikuwa nataka kusema nini, lakini nafikiri umenipata kifuchu