Hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha?

Nyie mnaorudisha uzi wa 5 years ago hamjistukii? If I was 20 then now i’m 25, if I was 25 now i’m 30 etc I know people in this forum like to bring old posts to discredit someone’s current state.


I am going to leave this post now. Thanks to everyone who sent kind words, both here and in PM. You have been amazing and added hope in my life. As dark as it was last night, the sun has risen again with new possibilities. Much love 💕
 
Pole Dada angu,Me Binafsi Unachopitia Nakuelewa sababu nishapitia Hali kama yako tena zaidi ya mala moja and Binadamu Tunatofautiana whera we From na mazingira tuliyotoka Kwahiyo usimlaumu sana mtu akiku attack huenda ajawahi pitia Hali kama yako Kwahiyo hata umueleweshe vp Hawezi kukuelewa",

Chukua Hatua zifuatazo

Cha kwanza kubali Hali halisi kwamba uko Kwenye nyakati ngumu japo Machozi yanapunguza maumivu ila Machozi na kukata tamaa haviondoi kile unachokipitia kwasasa",

Cha pili tafuta amani ya moyo amani ya moyo ndio kila kitu huta pata nguvu ya kufanya chochote Kama huna amani ya moyo,Tafuta amani ya moyo",

Cha tatu Weka mikakati ya kutoka hapo ulipo na kukabiliana na changamoto unayopitia kwa Sasa ",

Cha nne Chukua Hatua Hakikisha una move toka happy ulipo kimaisha kwa kasi utakayo imudu Kama utaweza kukimbia kimbia,Kama utaweza kutembea tembea,Kama utaweza kutambaa tambaa ilimladi tu uhakikishe unapiga Hatua",

Mwisho pia Tafuta watu waliopevuka kiakili mtakaokuwa mnabadilisha mawazo".

Kila lakheri kwako
 
Usije ukajiua tu mkuu
 
.
 

Attachments

  • FB_IMG_1678908797974.jpg
    73.4 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1678979515214.jpg
    75.3 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1677412600621.jpg
    63.9 KB · Views: 4
Dooh, calm down sissy!
 
Ni kweli watu wanapitia mambo magumu
Imagine depression kisa hauna Hela au mapenz kunanwatu Hela hawana na wako hospitali afyzao pia ni changamoto na watu wa karibu wamewakimbia

Tujifunze kushukuru na kupambana hatuwez kuwa na vyote sio rahis ukipata hiki Kuna vingine utapata mtihani tu japo tunatofautiana mapito yetu
 
Mm nimependa kizungu chako, kama ikikupendeza basi unipige msasa kwa malipo tutakayokubaliana...Lkn muhimu zaidi nikushauri tu kuwa imara, maisha hayahitaji mtu anaeyaogopa...usiweke tumaini kwa boyfrend ama mtu awe yote isipokuwa ni wewe kuamka na kuipigania hatima yako. wanaofanikishwa na boyfrends/girlfrends wapo ila ni wachache na ni bahati sana...
 
Mkuu, tafadhali ongeza nyama kidogo hapo, Feedback loop from hell ni kitu gani hicho?
Mkuu to cut the story short ni kwamba We feel bad about feeling bad. We feel guilty for feeling guilty. We get angry about getting angry. We get anxious about feeling anxious.

Yani siku hizi kuna tatizo kwenye jamii zetu. Iko ivi, through the wonders of consumer culture and Hey look my life is cooler than yours social media, has bred a whole generation of people who believe that having these negative experiences anxiety, fear, guilt, and all that is not okay.

Watu wanaish maisha ya mitandao, yan mtu akiangalia huko insta na tiktok kila mtu ana mizigo/hela, mara huyu kaolewa, huyu kapewa zawadi ya gari kwenye birthday yake, wakati wewe uko tu home huelewi and you can’t help but think your life sucks even more than you thought. Kwanini kila mtu asiende kwa pace yake ?.

Ndio maana tunasema, The key to a good life is not giving a fvck about more; it’s giving a fvck about less, giving a fvck about only what is true, immediate, and important.

By not giving a fvck that you feel bad, you short-circuit the Feedback Loop from Hell; you say to yourself, “I feel like shit, but who gives a fvck?" And then, as if sprinkled with magic fvckgiving fairy dust, you stop hating yourself for feeling so bad.

Our crisis is no longer material; it’s existential, it's spiritual. We have so much stuff and so many opportunities that we don't even know what to give a damn about anymore. The more you desperately want to be happy and loved, the lonelier and more afraid you become, regardless of those surrounding you. Na huo ndio ukweli.

Mkuu kwa leo inatosha.
 
That's true mkuu, were here fo spiritual purpose not only for materialistic things.
 
Nimekuelewa vyama mkuu, mitandao imegeuka uwanja wa mashindano na kugeza maisha ya watu wengine.
 
Maisha ya Sasa kiasi kubwa,ni jukumu lako mwenyewe uwe una mpenzi ama usiwe nae.
 

Nasaha yangu kwa nafsi yangu kwanza kisha kwako ni; tengeneza mahusiano yako na Mola wako, Allah. Tengeneza amali zako na utubie madhambi yako kwake na urejee kwake Yeye kwa kutubia.

Madhambi yetu yana athari kubwa mbaya katika maisha yetu. Ila hatuelewi tu au tunapuuza. Huenda kuna watu wakanikejeli kwa hili nililoandika lakini hii ni nasaha najipa mimi na wewe. Nakutakia kheri.

Yangu hayo tu.
 
Naam
 
Mwanangu hayo ndiyo maisha. Utalalamika kila siku ila hujinyongi. Kwanini? Kwa sababu hayo ndiyo maisha.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…