Hivi wenzetu bado wanatumia mavi kama sisi?

Hivi wenzetu bado wanatumia mavi kama sisi?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Ndg zangu, ni muda sasa nasumbuliwa na tumbo, nimekwenda kwenye vituo vya afya na hospitali pia, kote huko naambiwa nipeleke mavi (choo) wakapime. Kila nikifanya hicho kipimo naambiwa hawajaona tatizo. Hapa napata mashaka, hawa jamaa labda wanatupa hayo mavi/choo kwa sababu ya kinyaa.! Ndg zangu hivi kweli hamna kipimo kingine mpaka mtu abebe mavi/choo kwenye mfuko wake wa suruali au handbag yake? Hivi nchi kama ujerumani,uingereza,ufaransa na hata marekani bado wanatumia teknolojia hii ya kubeba mavi?
 
sijui ila kumbuka this is a poor country(not developing as UN defines), so i gree with the situation but try to find other altenative bcoz stamachache has so many implications!
 
Back
Top Bottom