Hivi weupe ndio urembo au?

Msukuma nilijua usapoti weupe maana nyie vyeupe..!
 
Wahindi weusi ndiyo qanaoongoza kwa kujichubua mcongo kasingiziwa. Wanaamnini kuwa ukiwa mweupe una nafasi kubwa ya kumpata mume mwenye pesa.
 
Wahindi weusi ndiyo qanaoongoza kwa kujichubua mcongo kasingiziwa. Wanaamnini kuwa ukiwa mweupe una nafasi kubwa ya kumpata mume mwenye pesa
Alaa ila kusema kweli wanaume wanapenda wanawake weupe (asilimia kubwa) hawa ndo wa kulaumiwa.
 
Hongera wazazi kwa kunipa jina la Kikale
 
Kuna warembo fulani mapacha weusi nilikutana nao uhamiaji daah. Aseeh ni wazuri ni weusi wa kun'gaa halafu wazuri hadi nilisahau kilichonipeleka.

Watu weusi wakiwa wwazuri wanakuaga wazuri haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…