Hivi weupe ndio urembo au?

Yaani watoto wanaoitwa Collins, Brian, Luqman, Yusrat nk wamejaa utadhani hayo majina ndio yameanza leo nawafahamu baba Collins Karibu 6 hivi, Unashangaa mtu anamuita mtoto Junior kavu kavu hata cheti cha kuzaliwa anaitwa Junior
 
Ni aibu mkuu. Naona pia Jayden na Sean yamekuja kwa Kasi sana hapa katikati

Wamarekani weusi miaka ya 70 hadi early 90s walipoanza kuamka na kutaka kurudisha tamaduni zao walizopoteza walianza kwanza kwa kubadili majina yao, hapo Ndo unakutana na weusi wanaitwa Kanye, Talib Kweli, Tay Nyerere Zonday, Kenyatta, Kenya, Malaika, Kwanzaa nk. Kuna wengine walianza hadi kujifunza lugha za Africa hasa Swahili na lugha za Africa Magharibi

Wamarekani weusi hawakuwa na uamuzi wa kubadili majina yao walibadilishwa kwa lazima kipindi cha utumwa ila sisi leo tunayakimbia kwa hiari na in a few years to come tutaanza kuitwa Yee, Cheng, Yung majina ya kichina since China is taking over.
 
Yaani watoto wanaoitwa Collins, Brian, Luqman, Yusrat nk wamejaa utadhani hayo majina ndio yameanza leo nawafahamu baba Collins Karibu 6 hivi, Unashangaa mtu anamuita mtoto Junior kavu kavu hata cheti cha kuzaliwa anaitwa Junior
Teh hapo kwa Junior ndo nachokaga na mimi
 
Tabu yote hiyo ya nini mkuu yote si majina yangu tu
Wenzetu koo zao hazipotei kwa sababu ya mtindo wa kuitana majina mfano David Bekham mtoto wake anaitwa Brooklyn Bekham na huyu Brook akipata mtoto mfano akiitwa Anna ataitwa Anna Bekham, ila baadhi yetu mfano Frank Masawe akipata mtoto akamuita John huyu mtoto atasajiliwa kama John Frank na John akizaa Peter ataitwa Peter John. Je unaona ni sawa?
 
Poteza identity ya mtu umepotea kizazi chake chote. Hiki ndo kinachotusumbua Africa hadi leo, hatuna chetu from dini to tamaduni tunaishia kuiga huku na huko
 
Kwangu mimi naona fahari kutumia jina langu la ukoo ila hata wale wanaotumia majina ya baba zao pia nawaelewa mwisho wa siku uafrika wako uko palepale
 
Kusema kweli yakulia inavutia kuliko ya kushoto !!..

Ila kiukweli mjikubali Kwa namna mlivo.
 
Tabu yote hiyo ya nini mkuu yote si majina yangu tu
Unakuta mwanao anaitwa Torres au Sanchez bila kujua kua hayo ni majina ya ukoo ya wenzetu lakini sio hutumia kama first name. Ni bora ukaitwa madaraka, andendekisye, Mwigulu, Olekiberith, jakaya atc.
 
Shukrani naendelea kujifunza
 
Tujikubali wakati ninyi hamtukubali. Kaazi kwelikweli
Hahahahah unajua nn mama, sisi wanaume Primary insta yetu Kwa mwanamke ninamna gan ameuwakisha moyo wako baada ya kumuona !! En nikweli rangi nyeupe kwaakina Dada inavuta kwaharaka sana ,,,,
Lkn all in all nikwamba kila MTU ana machaguzi yake ,so whether you are black or white we are all in the same blood ... Badala ya kuhangaika tulia atakuja anayependelea rangi yetu
 
Hahaa sawaa
 
Kwangu mimi naona fahari kutumia jina langu la ukoo ila hata wale wanaotumia majina ya baba zao pia nawaelewa mwisho wa siku uafrika wako uko palepale
Unaitwa Stewart Brian mtu kabla hajakuona kuna image anajenga akikuona ndio anajua ni mmatengo ila ukiandika tu Stewart Mwambigija hata kabla hajakuona anajua ni Afrika hiyo
 
Unaitwa Stewart Brian mtu kabla hajakuona kuna image anajenga akikuona ndio anajua ni mmatengo ila ukiandika tu Stewart Mwambigija hata kabla hajakuona anajua ni Afrika hiyo
Hahaa shida nyingine watu hawapendi makabila yao yajulikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…