Hivi weupe ndio urembo au?

Ni kweli....nilionaga documentary moja hivi kwenye BBC wakionyesha waarab na wahindi wanavyojichubua kutaka kufanana na wazungu.
True kuna cream ya 'fair and lovely' yani ni maarufu mnoo
Ukiangalia tu TV stations za wa'Asia utaona wanazitangaza hizi whitening creams kama kitu cha kawaida kabisaa.

wanaamini ukififia rangi una maisha magumu unakaa juani cz of hard labour na vitu kama hivyo.
 

Jinga sasa wewe [emoji28][emoji28][emoji28],utakuwa na undugu na Ray kigosi
 
Unaumwa akili,ugonjwa unaitwa 'kujikataa'(self hate) wengine hata hujiua.Nini kinachovutia kwa wazungu? Umewahi kuona ngozi za wazungu zinavyoathirika.Ukiona vipi oga moto au tindikali uwe kama wao.

Wanawake wa kiafrika wanaupungufu wa akili ndio maana wanafanya mambo yasio ingia akilini.Mbona wanaume hatujichubui hovyo.Wanaume wakosa akili ni wakongo tu.
 
 
Msamehe mkuu...akikua ataacha
 
Siwezi kukushangaa...mimi mwenyewe nikiona mdada ana shepu ya maana namtamani, natamani ningekuwa mimi, au ana guu la bia nammezea mate hayo mambo ya kujikubali jinsi nilivyo nimeshindwa ila hapa kwenye rangi hapana...sijawahi kutamani kuwa mweupe, yaani sijawahi kujiona nimepungukiwa kwa kuwa eti ni mweusi
 
Ni hali ya kusikitisha mana sikuhizi haiitwi kujichubua bali 'kujing'arisha'!!..

Wkt makopo kbs yameandikwa 'whitening cream'!na vinauzwa wazi wazii hadi mikoani wanatuma hehe[emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16] eti hadi mkoani wanatuma
 
Mimi siutamani weupe..Ila natamani Sana Yumbo flat. Naumbo zuri Sana shida Ni tumbo TU..nikiwaona wadada Instagram...nawatamani sana.
 
Nyeupe ni rangi adimu, tuache unafiki lol, White is Gold n Black is Beauty.
Tuliojaliwa rangi ya mtume naturally acha turinge tyuuuh lol.
 
Huyo wa kushoto ndo mtamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…