Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unenge ni njaaaYaani ukisikiliza nyimbo zao, utasikia maneno kama;
Unenge
Swagire
Umekaa kile
Kiralu ralu(?)
Maole
- Yaani rejesta siyo rejesta, misimu siyo misimu na misemo siyo misemo.
Siyo Kiingereza wala Kiswahili
Anaejua jamani
Sawa, lakini lugha gani? Kiarusha?Unenge ni njaaa
Swagire ni Swaga
Usikae kiree ni usikae kijinga/kiboya
Kiraruraru ni ukame au kiu ya kufanya ngono
Sawa, lakini lugha gani? Kiarusha?
Sio lugha rasmi ni rejesta za mtaani zinazotumika sana ArushaSawa, lakini lugha gani? Kiarusha?
Acha kuwaza kiree arifu...Washamba wa Arusha hao
Mshamba mwingine huyu apaAcha kuwaza kiree arifu...
Ongeza na hizi
Fasi ya dwasi.......pande flani
Paringi....ngumi mani tu mani
Arifu...chali wangu
Soro...zaidi ya fala
Mdwanzi...fala flani